Ndoto za usiku zinazo husiana na kuota nyoka ukiwa umelala

Ni Dalili ya kuonyesha umeweza kumshinda aduwi yako kuna mtu anakufuata kwamambo ya uchawi umemshinda.
 
Una shetani mzuri mwilini mwako au una mambo ya kwenu mambo ya mzimu inayokufuata wewe .Nenda kamuulize Babu aliye mzaa mama au babu aliye mzaa baba atakwambia ukweli wa mambo.
 
Mzizi mi juzijuzi nimeota kobra ananifata nikawa namrushia mchanga nilipiga kelele kumuita ndugu yangu aje anisaidie lakini hakuja . yule nyoka alinitishia mwisho akaondoka zake. Mi nilikuwa namrushia mchanga tu.
Dalili inaonyesha kuna uadui unakufuata na umeushinda kuna mtu anakuandama na mambo ya kiuchawi swali sana na muombe Mungu akulinde na hao maaduwi zako ikiwezekana si,ku ya alkhamisi weka pesa kwenye mto wakulala ikifika ijumaa asubuhi nenda kawape pesa hio masikini kw ania ya mungu akuepushe na maaduwi zako pesa usiweke kwenye mto pesa ya noti weka pesa ya chuma.
 
Ulikuwa una uaduwi unakuandama lakini yule mtu aliyeko mbele yako amekuokoa na huo uaduwi ulikuwa
unakuafuata.
 
Kunifata kwake ni kwa malengo gani....ni vitu gani vinapelekea yeye kunifata mim......anataka nin?

Sent using Jamii Forums mobile app
Anakufuata amekupenda na anaweza pia kukuharibia maisha yako. ukawa mtu mwenye mikosi ya kufukuzwa kazi au kugombana na watu pasipo na sababu kutokuwa na pesa kukutia umasikini inategemea amekusudia kitu gani kwako huyo pepo.
 
Kuota Unakimbizwa na nyoka wengi maana yake ulikuwa unakimbizwa wachawi maaduwi zako sasa yule mtu aliye mbele yako ndio aliye kuku okowa na hao wanao kukimbiza kwa nia mbaya ya kutaka kukudhuru wewe.
Leo nimeota nimepiga nyoka wawili vichwani na wamekufa kwa kutunia jiwe hii ina maana gani mmoja alikuwa wakijani anatoka kama pangoni mwingine mweupe alikuwa akitaka kuingia ila anasita kwa kuwa anamuona wa kijani anatoka pangoni ila hawakupigana wao kwa wao
 
kuna dili la pesa nyingi au mafanikio yanakuja kupitia nyota ya mwanamke uliye nae usimdharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…