Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Uwe unasoma na kuelewa kijana nyie vijana mnashida ganiKwamb kwako mtz hana thaman kbs alipaswa auawe ? Hv watz mmelogwa na nan ?
Wangekua na ndoto wasingekalua ardhi za watu wangerudi waliootokaWale waliouwawa tarehe 07/10 na hamas hawakuwa na ndoto
Dini inakutia ujinga sanaShida yako hujijui kama mjinga ungekua unajijua kua mjinga wala huu ujinga wako usingeuandika
Lini hams waliivamia israhell au unaropoka ropoka
Hakuna mpalestina anaejuta wote wanajua kua kuutetea uhuru wako sio kazi rahisi nawapo tayari kwahilo
Kama kujuta unajuta wewe mzayuni wa afrika mashariki tokea jf
Quran yenu inawatambua wayaudi aya tuambie hiyo quran imeandikwa mwaka 1948 ?Wangekua na ndoto wasingekalua ardhi za watu wangerudi waliootoka
Wewe una ujinga wa asiliDini inakutia ujinga sana View attachment 2844174
Unaiamini qur an???Quran yenu inawatambua wayaudi aya tuambie hiyo quran imeandikwa mwaka 1948 ?
Tarehe 7/10/2023 hamas walifanya nini israel. Fala weweLini hams waliivamia israhell au unaropoka ropoka
Hakuna mpalestina anaejuta wote wanajua kua kuutetea uhuru wako sio kazi rahisi nawapo tayari kwahilo
Kama kujuta unajuta wewe mzayuni wa afrika mashariki tokea jf
Mkiambiwa msome majambo mnajifanya wajuajiTarehe 7/10/2023 hamas walifanya nini israel. Fala wewe
Ningekuwa mods ungekula ban ya milele. Shuaini zako wameuwawa watamzania wawili bila hatia unaleta porojo za udini hapa kisa hawakuwa wa dini pendwa yako.
Hakika dini ni ugonjwa mbaya sana wa akili,
Wewe ni miongoni mwa wahubiri wanaofanya uhamasishaji wa kipuuzi wa misimamo ya Chuki za Kidini. Nafikiri umesikia mvua zinazoendelea kuwanyeshea wenzako huko Arusha wenye misimamo potofu kama yako.
Tanzania tuna Uhuru wa Kuabudu licha ya kwamba Katiba yenyewe inayotupatia uhuru huo ina mushkeli.
Ndio maana tunamsikitikia mtanzania aliyekufa, maana hao wengine sio maiti, Bali wanashangilia neema za Allah, hongera IDF kusabababisha watu kupata neema za Allah, na OLE wenu Hamas kwa kumuua mtanzania mwenzetu, bila shaka Mungu atawalipa chini ya jua hili
Pumbafu, mtanzania anathamani kuliko mpaleatina na myahudi. Wafe wote lakini mtanzania mmoja ni wathamani sana. Ukizingatia hakuwa sehemu ya mapigano. Wapalestina wameua wayahudi,nao wayahudi wanaua wapalestina. Damu hulipwa kwa damu.View attachment 2843958
Halafu anakuja mtu from nowhere anaumia na kifo cha mtanzania mmoja!
View attachment 2843959
2 days ago
Inasikitisha sana kuona watu wasio na hatia wakiuawa, wakijeruhiwa na wengine kuachwa wakiwa katika ulemavu ilhali kuna watanzania wanafurahia!
Lakini pia msifikiri waliokufa ni maiti, Laa👇
وَلَا تَحْسَبَنَّ الَّذِينَ قُتِلُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ أَمْوَاتًا ۚ بَلْ أَحْيَاءٌ عِنْدَ رَبِّهِمْ يُرْزَقُونَ
169 Al-'imran(The Family of Imran)
Wala kabisa usiwadhanie walio uliwa katika Njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni maiti. Bali hao ni wahai, wanaruzukiwa kwa Mola wao Mlezi.
فَرِحِينَ بِمَا آتَاهُمُ اللَّهُ مِنْ فَضْلِهِ وَيَسْتَبْشِرُونَ بِالَّذِينَ لَمْ يَلْحَقُوا بِهِمْ مِنْ خَلْفِهِمْ أَلَّا خَوْفٌ عَلَيْهِمْ وَلَا هُمْ يَحْزَنُونَ
170 Al-Imran
Wanafurahia aliyo wapa Mwenyezi Mungu kwa fadhila yake, na wanawashangilia wale ambao bado hawajajiunga nao, walio nyuma yao, ya kwamba haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika.
يَسْتَبْشِرُونَ بِنِعْمَةٍ مِنَ اللَّهِ وَفَضْلٍ وَأَنَّ اللَّهَ لَا يُضِيعُ أَجْرَ الْمُؤْمِنِينَ
171 Al-Imran
Wanashangilia neema na fadhila za Mwenyezi Mungu, na ya kwamba Mwenyezi Mungu hapotezi ujira wa Waumini
الَّذِينَ اسْتَجَابُوا لِلَّهِ وَالرَّسُولِ مِنْ بَعْدِ مَا أَصَابَهُمُ الْقَرْحُ ۚ لِلَّذِينَ أَحْسَنُوا مِنْهُمْ وَاتَّقَوْا أَجْرٌ عَظِيمٌ
172 Al-Imran
Walio mwitikia Mwenyezi Mungu na Mtume baada ya kwisha patwa na majeraha - kwa walio fanya wema miongoni mwao na wakamchamngu utakuwa ujira mkubwa
Nitawashangaa sana Mods wakiuhamisha ama kuufuta uzi huu
Unadhani kua mod jambo dogo
Pole kijana yafundishe macho yako na masikio kupenda kusikia na kuyaona wasio yapenda hata kama yanachoma
Hamas kamatieni hapo hapo
Pumbafu, mtanzania anathamani kuliko mpaleatina na myahudi. Wafe wote lakini mtanzania mmoja ni wathamani sana. Ukizingatia hakuwa sehemu ya mapigano. Wapalestina wameua wayahudi,nao wayahudi wanaua wapalestina. Damu hulipwa kwa damu.
Kwamb kwako mtz hana thaman kbs alipaswa auawe ? Hv watz mmelogwa na nan ?
Mkuu ukitaka kujua ukweli wa mambo kwanza unatakiwa mahaba uyaweke pembeni ujitahidi kuwa neutral kisha ufanye utafiti kwa pande zote 2 pasi na kuelemea upande mmoja.Mjinga wa kwanza ni wewe, hamas ndio waliovamia Israel na virocket vyao. Israel wanajitetea mnalalamika. Nakushauri ilaumu hamas. Palestine wanajuta kuwakumbatia hamas
Netanyahu Akhbar.Nabii wa Mwisho ni Nabii Muhammad S.A.W
Ndio iwe fundisho kwa wengine kupeleka vijana kwa magaidi wasio na huruma, kama wangelikua chini ya Hamas mbona wangerudi salama salmini!
Palestine [emoji1193] will be free in shaa Allah
Nawapa pole wanafamilia, kila nafsi itaonja umauti
N iwe fundisho kwa wengine kupeleka vijana kwa magaidi, wale sio watu wazuri.
Ingelikua wapo mikononi mwa Hamas/freedom fighters wala kusingekua na tabu yoyote, wangerudi salama salmini.