permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Sijaona utafiti wowote kwenye huu ufafanuzi wako. Ili kuwa neutral vizuri, utafiti wako kuhusu Israeli usianzia hiyo miaka 56 unayosemea, nenda zaidi ya hapo. Mungu alipoumba watu, aliwapa maeneo yao ya kuishi.Mkuu ukitaka kujua ukweli wa mambo kwanza unatakiwa mahaba uyaweke pembeni ujitahidi kuwa neutral kisha ufanye utafiti kwa pande zote 2 pasi na kuelemea upande mmoja.
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa aliweka wazi kua kilichotokea october7 sio kitu kilichokuja tu kwa kushtukiza.
Guterres said, to acknowledge that “the attacks by Hamas did not happen in a vacuum.” “The Palestinian people have been subjected to 56 years of suffocating occupation.
Zaidi ya miaka 50 ya occupation wayahudi hua wanafanya mauaji ya wapalestina kila wanavyojisikia.
Takwimu za umoja wa mataifa kwa mwaka huu tu 2023 kuanzia january mpaka September kabla ya hio october7 zaidi ya wapalestina 400 wameuliwa na serikali ya Israel, maelfu wameshikiliwa kwenye majela ya Israel wakiwepo na watoto kibao kwa kesi za kubambikiwa, mamia ya majumba ya wapalestina yamebolewa ili kujenga makazi ya wayahudi na pia wengine wananyang'anywa nyumba zao kisha wanapewa walowezi wa kizayuni wanaokuja kutoka ulaya.
Kwa kukusaidia tu sitakupa link a/c za wapestina unaweza kusema wanawasingizia wayahudi bali nakupa hii hapa link ya wayahudi wenyewe wanaelezea madhila na ukatili wanaoupitia wapalestina kutoka kwenye serikali ya kikaburu ya israel Login • Instagram
Hoja ya kuwa mashambulizi ya Hamas yalikuwa yanatazamiwa inaweza kuwa sawa, isipokuwa, kama aliweza kutabiri mashambulizi ya Hamas pia alipaswa kutabiri majibu ya Israel yangekuwaje.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app