Ndoto za Wanafunzi "Mashahidi" Waliouawa na uvamizi wa Mazayuni

View attachment 2843958
Halafu anakuja mtu from nowhere anaumia na kifo cha mtanzania mmoja!
View attachment 2843959
2 days ago

Inasikitisha sana kuona watu wasio na hatia wakiuawa, wakijeruhiwa na wengine kuachwa wakiwa katika ulemavu ilhali kuna watanzania wanafurahia!

Lakini pia msifikiri waliokufa ni maiti, Laa👇
وَلَا تَحْسَبَنَّ الَّذِينَ قُتِلُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ أَمْوَاتًا ۚ بَلْ أَحْيَاءٌ عِنْدَ رَبِّهِمْ يُرْزَقُونَ
169 Al-'imran(The Family of Imran)
Wala kabisa usiwadhanie walio uliwa katika Njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni maiti. Bali hao ni wahai, wanaruzukiwa kwa Mola wao Mlezi.

فَرِحِينَ بِمَا آتَاهُمُ اللَّهُ مِنْ فَضْلِهِ وَيَسْتَبْشِرُونَ بِالَّذِينَ لَمْ يَلْحَقُوا بِهِمْ مِنْ خَلْفِهِمْ أَلَّا خَوْفٌ عَلَيْهِمْ وَلَا هُمْ يَحْزَنُونَ
170 Al-Imran
Wanafurahia aliyo wapa Mwenyezi Mungu kwa fadhila yake, na wanawashangilia wale ambao bado hawajajiunga nao, walio nyuma yao, ya kwamba haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika.

يَسْتَبْشِرُونَ بِنِعْمَةٍ مِنَ اللَّهِ وَفَضْلٍ وَأَنَّ اللَّهَ لَا يُضِيعُ أَجْرَ الْمُؤْمِنِينَ
171 Al-Imran
Wanashangilia neema na fadhila za Mwenyezi Mungu, na ya kwamba Mwenyezi Mungu hapotezi ujira wa Waumini

الَّذِينَ اسْتَجَابُوا لِلَّهِ وَالرَّسُولِ مِنْ بَعْدِ مَا أَصَابَهُمُ الْقَرْحُ ۚ لِلَّذِينَ أَحْسَنُوا مِنْهُمْ وَاتَّقَوْا أَجْرٌ عَظِيمٌ
172 Al-Imran
Walio mwitikia Mwenyezi Mungu na Mtume baada ya kwisha patwa na majeraha - kwa walio fanya wema miongoni mwao na wakamchamngu utakuwa ujira mkubwa

Nitawashangaa sana Mods wakiuhamisha ama kuufuta uzi huu

Wale waache wauane weee, mpaka wenyewe waseme basi.
 
Uislamu ni janga la Dunia
 
Utakufika wewe sio mimi
Shindwa ulegee

كُلُّ نَفْسٍ ذَائِقَةُ الْمَوْتِ ۖ ثُمَّ إِلَيْنَا تُرْجَعُونَ
Kila nafsi itaonja mauti. Kisha mtarudishwa kwetu.
57 Al-'Ankabut (The Spider)

وَالَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ لَنُبَوِّئَنَّهُمْ مِنَ الْجَنَّةِ غُرَفًا تَجْرِي مِنْ تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا ۚ نِعْمَ أَجْرُ الْعَامِلِينَ
Na ambao wameamini na wakatenda mema, bila ya shaka tutawaweka katika maghorofa ya Peponi yenye kupitiwa chini yake mito, wakidumu humo. Ni mwema ulioje huo ujira wa watendao,
58 Al-'Ankabut (The Spider)
 
View attachment 2843958
Halafu anakuja mtu from nowhere anaumia na kifo cha mtanzania mmoja!
View attachment 2843959
2 days ago

Inasikitisha sana kuona watu wasio na hatia wakiuawa, wakijeruhiwa na wengine kuachwa wakiwa katika ulemavu ilhali kuna watanzania wanafurahia!

Lakini pia msifikiri waliokufa ni maiti, Laa👇
وَلَا تَحْسَبَنَّ الَّذِينَ قُتِلُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ أَمْوَاتًا ۚ بَلْ أَحْيَاءٌ عِنْدَ رَبِّهِمْ يُرْزَقُونَ
169 Al-'imran(The Family of Imran)
Wala kabisa usiwadhanie walio uliwa katika Njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni maiti. Bali hao ni wahai, wanaruzukiwa kwa Mola wao Mlezi.

فَرِحِينَ بِمَا آتَاهُمُ اللَّهُ مِنْ فَضْلِهِ وَيَسْتَبْشِرُونَ بِالَّذِينَ لَمْ يَلْحَقُوا بِهِمْ مِنْ خَلْفِهِمْ أَلَّا خَوْفٌ عَلَيْهِمْ وَلَا هُمْ يَحْزَنُونَ
170 Al-Imran
Wanafurahia aliyo wapa Mwenyezi Mungu kwa fadhila yake, na wanawashangilia wale ambao bado hawajajiunga nao, walio nyuma yao, ya kwamba haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika.

يَسْتَبْشِرُونَ بِنِعْمَةٍ مِنَ اللَّهِ وَفَضْلٍ وَأَنَّ اللَّهَ لَا يُضِيعُ أَجْرَ الْمُؤْمِنِينَ
171 Al-Imran
Wanashangilia neema na fadhila za Mwenyezi Mungu, na ya kwamba Mwenyezi Mungu hapotezi ujira wa Waumini

الَّذِينَ اسْتَجَابُوا لِلَّهِ وَالرَّسُولِ مِنْ بَعْدِ مَا أَصَابَهُمُ الْقَرْحُ ۚ لِلَّذِينَ أَحْسَنُوا مِنْهُمْ وَاتَّقَوْا أَجْرٌ عَظِيمٌ
172 Al-Imran
Walio mwitikia Mwenyezi Mungu na Mtume baada ya kwisha patwa na majeraha - kwa walio fanya wema miongoni mwao na wakamchamngu utakuwa ujira mkubwa

Nitawashangaa sana Mods wakiuhamisha ama kuufuta uzi huu
Kwahiyo nisiumie mdogo wangu Clement kuuawa kikatili namna ile na maarabu.....
Au kwakua sisi sio waislamu ndio mnashabikia kifo cha mdogo wetu...????
UDINI MZIGO WA MAVI
 
Back
Top Bottom