Ndoto za Wanafunzi "Mashahidi" Waliouawa na uvamizi wa Mazayuni

Sikuwahi kufikiri kuwa kuna Mpalestina anayeweza kuandika Kiswahili kwa ufasaha namna hii. Kumbe wapo!!
 

Unaelewa unachokiongea?

Hizo Aya nimekuwekea umeshindwa hata kuzielewa!

Nimekuwekea tena👇

لَا إِكْرَاهَ فِي الدِّينِ ۖ قَدْ تَبَيَّنَ الرُّشْدُ مِنَ الْغَيِّ ۚ فَمَنْ يَكْفُرْ بِالطَّاغُوتِ وَيُؤْمِنْ بِاللَّهِ فَقَدِ اسْتَمْسَكَ بِالْعُرْوَةِ الْوُثْقَىٰ لَا انْفِصَامَ لَهَا ۗ وَاللَّهُ سَمِيعٌ عَلِيمٌ
Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet´ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua
256 Al-Baqarah.

Kusiwe na kulazimishana katika dini, kwani ukweli unadhihirika waziwazi na uwongo. Basi anayeiacha miungu ya uwongo na kumwamini Mwenyezi Mungu bila shaka ameshika mkono ulio imara zaidi usio na kikomo. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.
 
Mkuu anaelilia cease fire kule DOHA QATAR ni nani?????
Akitishia kua kama hakuna cease fire naua mateka????
Au Al Jazeera waongo???
 
Mkuu hao wafilisti waliwepo hapo Palestina/Kanaan miaka 3000 kabla hata ujio wa Abraham(babu yake Yakobo) kutoka Iraq.
Hao Wafilist ndio walimuuzia Abraham kiwanja ili ajenge makazi ya kuishi yeye na mkewe Sara.
Kama wayahudi walikuwepo miaka 3000 hao Wafilist walikuwepo hapo kanaan zaidi ya miaka 6000 nyuma, utajijibu mwenyewe hapo mgeni ni nani.
 
Upo sahii na kabla ya hao wafilisti waliokaa Gaza walikuepo wayebusiwakiokaa Jerusalem na waarothi waliokaa ngambo ya mto jordan na wanefili usiwasahau na jamii nyingine nyingi.....kama wazanoth pia
Pointi ni kwamba waarabu na waislamu wanakataa uwepo wa wayahudi waebrania hapo kabla ya waarabu.
NB: USICHANGANYE JAMII ZA HAPO GAZA NA MIJI MINGINE KAMA YERIKO SADOKI NA WARAABU AU WAYAHUDI MKUU......
 
Wageni ni wote waarabu na wayahudi.......
Sababu hata wafilisti waliwakuta wayebusi,
Wayebusi waliwakuta waarothi.
Waarothi waliwakuta wanefili.
Wanefili waliwakuta watu wakati na wao wanatawala eneo hilo.
Na jamii zote hizo sio waarabu kiutamaduni mpaka lugha zao
NB: POINTI NI KWAMBA KATI YA MWARABU NA MYAHUDI,
MYAHUDI I MEAN WAEBRANIA WAYAHUDI WALIHAMIA HAPO KABLA YA MWARABU ALIYEKUA UPANDE WA KUSINI WA MTO JORDAN NA BAHARI YA CHUMVI. HISTORIA IPO WAZI.
 
Hakuna mwarabu yoyote anaekataa uwepo wa wayahudi katika nchi ya Palestina.
Waarabu wameishi na wayahudi kwa amani miaka na miaka kwenye nchi zao za kiarabu na wala hawakuwahi kubaguliwa kwa sababu ya uyahudi wao.
Ingia hata sasa hivi youtube andika Jews in Yemen utawaona maelfu ya mayahudi wanaishi miaka kibao na mpaka sasa hivi tena wako proud kabisa wao kuwa Wayemen, ukicheki morocco pia wayahudi wamejazana tele na wanaishi kwa amani.
Wayahudi wenyewe wanasema wameishi miaka mingi katika nchi za kiarabu kwa amani kuliko hata ulaya ambako wazungu walikua wanashindwa kuwavumilia kwa mambo yao na kuwaua kwa mauaji ya kimbari pamoja na kuwatimua katika nchi zao.
Chini nimekuwekea video za Rabbis wa kiyahudi wakiongea haya ninayokwambia.
Wapalestina kitu wanachogombana na zionist ni apartheid na Occupation.
Wako wayahudi wengi tu ndani na nje ya Israel hawakubaliani kabisa na uwonevu wanao fanyiwa wapelestina katika nchi yao.
Instagram kuna account ya wayahudi inaitwa jewish voice for peace, kama unataka kweli kujifunza sababu haswa ya mgogoro wa Palestina na Wazayuni nakuomba pitia hio account utajifunza mengi sana ambayo ulikua hauyajui na wanayoyaongea hayo ni wayahudi wenyewe wala sio wapalestina.
Your browser is not able to display this video.

View attachment 2846852View attachment 2846853View attachment 2846855
 
Mkuu pointi yangu ni kwamba waarabu waliwakuta waebrania kabla yao hapo Kaanani...
Kama vile waebrania walivyowakuta wafilisti hapo.
NB:WAARABU NA WAISLAMU WANAKATAA UWEPO WA WAYAHUDI ENEO HILO NA KUPITIA DINI YAO NA MAELEKEZO YA MUNGU WAO WANAHAMASISHANA WAWAUE WAYAHUDI NA KUWAGEUZA WATUMWA NA VIJAKAZI,,SABABU KUU IKIWA WAO SIO WAISLAMU..
LAKINI BAHATI MBAYA KWAO NI KWAMBA WAYAHUDI WAMEKOMAA TOKA AWALI NA HILO LIMESHINDIKANA
 
Mkuu tatizo la waislamu na waarabu ni unafiki wa kihistoria linapokuja suala la wayahudi na kuna vipengele wanaviruka kimakusudi na kinafiki
Waislamu walikaa kwa amani na wayahudi sababu walikua wana watawala enzi za makhalifa na ottoman empire....na walianza chuki pale tu wayahudi walioanza harakati za kurudisha himaya zao.
NB: MUISLAM AU MWARABU ATAKAA KWA AMANI YA KINAFIKI NA WEWE KAMA UNAMZIDI NGUVU...
NJE YA HAPO ANGEPENDA WEWE UWE MTUMWA NA KIJAKAZI WAKE KISA ANAKUITA KAFIR
 
Hakuna occupation hapo,,maana wayahudi wana haki na ardhiya mababu zao...
Sasa waarabu wanataka waodhi eneo lote sababu ya chuki ubaguzi na unafiki...wa kihistoria ila dunia inajua kua lile eneo wayahudi walikuepo kabla ya waarabu na waislamu
Mfano mzuri mji wa Jerusalem,,,,,,kati ya myahudi na mwarabu,,,nani wa kwanza kuumiliki...
TUACHE UNAFIKI TUFUATE HISTORIA...
 
Tuache unafiki wa kihistoria sababu ya udini kuna masalia mangapi ya wayahudi waliokimbia ukimbizini nchi za kiarabu baada ya kuvamiwa na kutolewa pale na warumi na makhalifa wa kiarabu na waturuki?????
Ina maana unadhani mauaji ya halaiki ya wayahudi yalianzia kwa wahispania na wajerumani na warumi pekee????
Unajua makhalifa wa kiarabu walichokua wanawafanyia wayahudi waliokataa kua waislamu??????
 
Namwona HAMAS wa Buza Kwa Lulenge anakuja ku halalisha udhalimu wa Hamas

Radical islam ni janga la Dunia ni watu ambao wanamacho lakini ni vipofu period!!!
 
unahamasisha watanzania wasiumie kwa msiba wa mtanzania mwenzao loh! Una uzarendo na nchi za watu , nchi yako nani ataihurumia
 
Unafiki ni mzigo...
Wayahudi waliokua ukimbizini kwenye himaya za waarabu waliishi kama raia wa daraja la chini na wengi waliuawa.
Kuanzia Mliki ya Grenada mpaka mliki ya Shamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…