Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
Nimeshindwa kuelewa kwa kina juu ya maneno ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Spika nilimwelewa kwamba kuna tozo zinazoendelea kutozwa zililenga kuondoa upungufu wa madarasa.
Lakini tutakopa tena 1.3 trioni kwa ajili ya kujenga tena madarasa.
Ukweli ni kuwa tozo pekee zisingetosha kujenga madarasa hata ya mikoa miwili ,upungufu wa madarasa uliopo mkubwa sana hapa nchini.
Sina takwimu KAMILI lakini kwa haraka haraka nchi hii ina upungufu wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 10.
Mfano tu wilaya ya Mbinga ina upungufu wa vyumba 500.
Monduli 250.
Fedha za tozo pekee zitahitaji miaka 6 ili kukamilisha tu ujenzi wa vyumba vya madarasa.
Lakn mkopo wa Covid-19 umeenda hadi ujenzi wa zahanati na vituo vya afya na bado mkopo huo hauna riba na ni wa zaidi ya miaka 20.
Turudi kwenye kauli ya Ndugai aliposema
Mwaka 2025 wananchi wenyewe wataamua kama watarudi na hawa hawa wakukopa alikua ana maanisha nini?
Kwamba anaombea chama kingine kura kikitoe chama chake cha CCM madarakani?
Au vikao vya chama chake vije na mgombea mwingine.
Huyu Ndugai enzi za Mwendazake sio yeye alikua anamsindikiza hadi Magufuli chooni.
Sio yeye aliyenyamaza huu ukopaji.Ndani ya miaka 4 Magufuli alikopa 21 trioni .Ndugai alikua wapi kusema haya.
Au kwa vile SSH ni mama ndo maana wanaanza kumnanga
Enzi zile za Mwendazake zake si wangepiga makofi kabisa na sifa kedekede.
Alimwelea Ndugai kuhusu kauli yake ya 2025 atufafanunulie tafadhali.