Ndugai anahisi kutengwa. Kipindi cha Mwendazake kapu likitembezwa alikuwa anaambulia chenji, sasa mama kaja na machawa wake. Anaona kabisa mpunga unaingia lakini haambulii hata pumba, lazima aongee.
Hakuna jipya linalotokea ambalo halikufanyika huko nyuma, Tatizo ni kuwa kila anaeongea sasa hivi kapokonywa tonge kinywani kupelekea hasira zote hizi.
Kampeni safari hii zinaanza mapema mno. Ila hata kwa bahati mbaya ikatokea Ndugai akapata uraisi tutaanza kupigwa bakora kama shule. Mungu atusimamie tu aje mwenye akili timamu angalau.