Ndugai alimaanisha nini kusema 2025 wananchi wawapime kama wataendelea na hawa wakopaji?

Huyo inatakiwa apewe case ya kutakatisha akafie jela na ukimwi wake
 
Chawa hao ni SAwa na mbwa wabwekaji hatuna haraka nao watafyekwa na wajumbe tu
Mwambieni mama yenu aivunje kamati kuu CC aunde upya ya kwake, hii kamati ya mwendakuzimu aachane nayo.

Mwehu kama huyu Ndugai ni wa kumvuwa uanachama wala si mtu wa kuchekewa.

Kuna watu nguvu zao ni pale wanapovaa mishati ya kijani tu, lakini ukiwatupa nje ni bora hata Manara ana wafuasi.
 
Hoja ya tozo ilikuwa tunadhamira ya kupunguza mikopo, una mitigate madhara ya corona kiuchumi kwa kujenga madarasa hio akili Au uchoko?
 
Hamjajibu ndugai kwa nini tukubaliane kuweka tozo then mwende kukopa kufanya kile kile tulicho itaji kwenye tozo. Unamlaumu bure tu ndugai ajibiwe.

Tozo tunazolipa zinaenda kufanyia nini. Mkopo gani unapewa usiokua na riba jamani ata ya asilimia 0??
Safi sana wabongo ni mandezi sana kiakili hoja ya Ndugai ipo wazi kuna upigwaji wa pesa mahali itafahamika tu.
 
Kwa haraka haraka unagundua tu,kwamba Spika aliutamani sana Urais baada ya Mwendazake kuondoka. Baada ya katiba kumuweka mama Jamaa kimsingi bado anaona kwa nini 2025 isiwe ukomo wa mama ili auchukue yeye
 
Lakini tozo si ni endelevu ? Alaf Kwa Mwezi zaidi ya 50 billion zinakusanywa kwenye tozo , ukiziba na mianya inaweza fika 100 ...!! Ndungai for president
Kwa haraka Tz inahitaji 1.2 Trion kumaliza tatizo la madarasa
 
Lakini tozo si ni endelevu ? Alaf Kwa Mwezi zaidi ya 50 billion zinakusanywa kwenye tozo , ukiziba na mianya inaweza fika 100 ...!! Ndungai for president
Huyu ndo Rais wako mbona hana kumbukumbu
 

Attachments

  • twitter_20211229_133253.mp4
    1.3 MB
Tuambie kwanza tozo serikali inakusanya kiasi gani?
 
Hata akivunja hawa watu lazima wawemo.
Spika
Waziri mkuu
Labda awafukuze uanachama
 
Lakini tozo si ni endelevu ? Alaf Kwa Mwezi zaidi ya 50 billion zinakusanywa kwenye tozo , ukiziba na mianya inaweza fika 100 ...!! Ndungai for president
50 billion ni ndogo sana, mtandao mmoja unaweza kukava zaidi ya 90% ya budget kwa mwaka. Je, budget ya taifa ni bei gani kwa mwaka mzima?

Nimeangalia kwa 2020/21 budget ni 30.8T! Kama niko sahihi basi tozo zinazokusanywa ni nyingi mno kwa mwaka sababu kila muamala serikali inachukua hela sio chini ya buku😅 aidha utume au kutoa pesa lazma serikali uipe hela.
 
Tuambie kwanza tozo serikali inakusanya kiasi gani?
Takwimu za uhakika sina japo tuliambiwa ni 38 bilioni.
Ila ndugu fedha za tozo zina mgawanyo ufuatao.
1.Kujenga madarasa primary na sec
2.Kujenga zahanati na vituo vya afya
3.Kujenga miundombinu ya barabara vijijini.
Itachukua miaka 100 kujenga vitu vyote hivo kwa wakati mmoja kwa kutegema tozo na hela zako za ndani.
Hatujawa na uchumi wa hivo.
 
Kabla ya tozo yote hayo yalitoka wapi?
Kwamba Hatujawahi jenga madarasa? Hospitals na barabara?
 
Hoja ya tozo ilikuwa tunadhamira ya kupunguza mikopo, una mitigate madhara ya corona kiuchumi kwa kujenga madarasa hio akili Au uchoko?
Na huenda tumepunguza huo mkopo lbd tungeweza kuchukua 1.5 tumechkua 1.3 trioni
Hoja iko pale pale je fedha za tozo zinatosha kukimbizana na umaziliaj wa madarasa ya sec pekee bado primary bado zahanati na vituo vya afya ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…