Ndugai alimaanisha nini kusema 2025 wananchi wawapime kama wataendelea na hawa wakopaji?

Kabla ya tozo yote hayo yalitoka wapi?
Ndugu yangu
Magufuli aliingiza nchi kwenye chaka la kuanzisha miradi mikubwa bila kujiandaa.
Hivyo lazima tujipige kila sehemu kuziba baadhi ya magepu.
Ebu angalia ndani ya miezi 5 hela zimepatikana na madarasa yamekamilika.
Wanafunzi wengi walikua hawapat nafas wanasubr sec selection wanakuta wenzao wameanza masomo.
Twende taratibu mkuu wangu nchi changa mkopo wa IMF wa covid 19 umetolewa kwa mataifa yote kwa ajili ya kupambana na athari za kiuchumi.
 
Huyo Ndugai lini anaitwa kwenye kamati ya maaadili hawezi kutuvurugia chama
Kwa kweli amevuruga kusema wananchi waamue kama watawarudisha hawa wa kukopa kukopa.
Kwa makusudi kbs hajui kuwa chama chake kintekeleza ilani yake.
 
Na huenda tumepunguza huo mkopo lbd tungeweza kuchukua 1.5 tumechkua 1.3 trioni
Hoja iko pale pale je fedha za tozo zinatosha kukimbizana na umaziliaj wa madarasa ya sec pekee bado primary bado zahanati na vituo vya afya ?
Unakopa kipindi cha corona ili ujenge madarasa? Akili za matope kbsa, anzeni mkope na za madawati n.a. vyoo n.a. nyumba za waalimu. Itafika mahali Ndugai akisema watakimbiana kuna kitu anamaanisha cha ziada endapo kama si political spinning kuzima mjadala wa katiba.
 
Acha wanyukane,ila hiyo ya kukopa wanawazuzua tu Watanzania.Ndugai,Mh Rais Samia na wenzao huko chamani/serikalini wanafahamu kila kitu A-Z.
Hawa wenzetu UTU uliwatoka zamani sana.Wanaongea as if Tanzania imezaliwa jana au iliwahi kuongozwa na wasiojulikana.
That only can make us throw them to hell for the jokes.
 
Siyo kazi nyepesi usijidanganye, kuiwezA itamchukua miaka 10 kulimaliza kundi
 
Kabla ya tozo yote hayo yalitoka wapi?
Kwamba Hatujawahi jenga madarasa? Hospitals na barabara?
Na ukiondoa 7.7 tilion alizokopa mama katika 80 tilion,unabaki na deni 72 na point lililokopwa na serikali zilizopita.Sasa unafikiri hizo 72 tilion zilizokopwa na awamu zilizopita zilitumika wapi kama hospitali,zahanati na shule zilikuwa zinajengwa?.

Chuki ni dalili ya uchawi pia.
 

Wewe na Spika nani mwenye taarifa kamili juu ya upungufu wa madarasa nchini? Wewe na Spika nani ambaye ana uwezo wa kujua kiasi kinachopatikana kutokana na tozo? Wewe na Spika nani anajua masharti ya hiyo mikopo? Wewe na Spika nani ni rahisi kupata taarifa kuhusu fedha na matumizi yake?

Ni kweli alikuwa kimya miaka 5 nyuma Je aendelee kukaa kimya? Spika anajua hiyo mikopo inapokwenda ndio maana anapiga kelele
 
Siyo kazi nyepesi usijidanganye, kuiwezA itamchukua miaka 10 kulimaliza kundi
Mwenyekiti wa ccm ni Mungu mtu hakuna wa kumpinga.

Na usisahau kinana na JK wapo nyuma ya mama kwa full support, na usisahau Tiss inaripoti kwa mama na siyo kwa Sukuma gang, na mama ndio Amiri jeshi mkuu na CDF ameonesha kumtii na kumuheshimu.

 
Spika amenyimwa mgao ndio ARV zikapanda kichwani, hana lolote mpuuzi kabisa huyo.
 
Hizo comments zako mwishoni nimegundua ww unatokea mchambawima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…