Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
aende ZanzibarMwenyekiti wa ccm ni Mungu mtu hakuna wa kumpinga.
Na usisahau kinana na JK wapo nyuma ya mama kwa full support, na usisahau Tiss inaripoti kwa mama na siyo kwa Sukuma gang, na mama ndio Amiri jeshi mkuu na CDF ameonesha kumtii na kumuheshimu.
View attachment 2061635
We change our voice when we talk to people we like.Wewe na Spika nani mwenye taarifa kamili juu ya upungufu wa madarasa nchini? Wewe na Spika nani ambaye ana uwezo wa kujua kiasi kinachopatikana kutokana na tozo? Wewe na Spika nani anajua masharti ya hiyo mikopo? Wewe na Spika nani ni rahisi kupata taarifa kuhusu fedha na matumizi yake?
Ni kweli alikuwa kimya miaka 5 nyuma Je aendelee kukaa kimya? Spika anajua hiyo mikopo inapokwenda ndio maana anapiga kelele
Godfather wao ameshakufa subiria uoneNani kakudanganya??????!!!!!!
Trillion 66 ni deni la tangu Uhuru yaani miaka 60.Na ukiondoa 7.7 tilion alizokopa mama katika 80 tilion,unabaki na deni 72 na point lililokopwa na serikali zilizopita.Sasa unafikiri hizo 72 tilion zilizokopwa na awamu zilizopita zilitumika wapi kama hospitali,zahanati na shule zilikuwa zinajengwa?.
Chuki ni dalili ya uchawi pia.
Ni kweli kabisa mkuu. Mamama kaja na machawa wake. Na la kushtua zaidi ni kwamba akitulia tu wanamtia moto fulani hafai, fulani hafai. Na ndio maana jamii inashuhudia kelele nyingi sana kiasi hiki mpaka raia wanachanganyikiwa. Anyway, tutafiuka tu. Na msimu huu lazima kieleweka. Nani mweupe, nani mweusi, subiri tu utaonaNdugai anahisi kutengwa. Kipindi cha Mwendazake kapu likitembezwa alikuwa anaambulia chenji, sasa mama kaja na machawa wake. Anaona kabisa mpunga unaingia lakini haambulii hata pumba, lazima aongee.
Hakuna jipya linalotokea ambalo halikufanyika huko nyuma, Tatizo ni kuwa kila anaeongea sasa hivi kapokonywa tonge kinywani kupelekea hasira zote hizi.
Kampeni safari hii zinaanza mapema mno. Ila hata kwa bahati mbaya ikatokea Ndugai akapata uraisi tutaanza kupigwa bakora kama shule. Mungu atusimamie tu aje mwenye akili timamu angalau.
Tena sana tu. Ni aheri angekaa kimya tu. Ingemjenga sanaNdugai kajivunjia heshima sana
Ndio maana Rais kamtolea uvivu ,mshenzi yule..Nimeshindwa kuelewa kwa kina juu ya maneno ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Spika nilimwelewa kwamba kuna tozo zinazoendelea kutozwa zililenga kuondoa upungufu wa madarasa.
Lakini tutakopa tena 1.3 trioni kwa ajili ya kujenga tena madarasa.
Ukweli ni kuwa tozo pekee zisingetosha kujenga madarasa hata ya mikoa miwili ,upungufu wa madarasa uliopo mkubwa sana hapa nchini.
Sina takwimu KAMILI lakini kwa haraka haraka nchi hii ina upungufu wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 10.
Mfano tu wilaya ya Mbinga ina upungufu wa vyumba 500.
Monduli 250.
Fedha za tozo pekee zitahitaji miaka 6 ili kukamilisha tu ujenzi wa vyumba vya madarasa.
Lakn mkopo wa Covid-19 umeenda hadi ujenzi wa zahanati na vituo vya afya na bado mkopo huo hauna riba na ni wa zaidi ya miaka 20.
Turudi kwenye kauli ya Ndugai aliposema
Mwaka 2025 wananchi wenyewe wataamua kama watarudi na hawa hawa wakukopa alikua ana maanisha nini?
Kwamba anaombea chama kingine kura kikitoe chama chake cha CCM madarakani?
Au vikao vya chama chake vije na mgombea mwingine.
Huyu Ndugai enzi za Mwendazake sio yeye alikua anamsindikiza hadi Magufuli chooni.
Sio yeye aliyenyamaza huu ukopaji.Ndani ya miaka 4 Magufuli alikopa 21 trioni .Ndugai alikua wapi kusema haya.
Au kwa vile SSH ni mama ndo maana wanaanza kumnanga
Enzi zile za Mwendazake zake si wangepiga makofi kabisa na sifa kedekede.
Alimwelea Ndugai kuhusu kauli yake ya 2025 atufafanunulie tafadhali.
Kwani alikuwa na hiyo heshima kabla.?Ndugai kajivunjia heshima sana