Ndugai amejiuzulu, CHADEMA mtafufuka kisiasa?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Naona mmekenua meno na vijinopembe huku mkisahau kuwa kisiasa mna hali mbaya sana. Maana pamoja na kutembeza mabakuli ya kidigital lakini hamkupata sapoti

Mbali na hilo wananchi hawana imani na nyie ya kisiasa tena maana hata mkiitisha mkutano hawajitokezi kabisa.
 
Sisiyemu kama wanaamini katika maendeleo waliyoleta waruhusu mikutano ya kisiasa au tume huru ya uchaguzi.

Au tufanye uchaguzi tuu wanajaribio majibu watapata
 
Sukuma Gang chaliii, hilo tu linatosha!!!

Wametesa sana watu kwa chuki zao binafsi,,

Mwacheni mama aendeshe nchi sasa watanzania wakae kwenye nchi yao kwa amani! Mtu unaishi kwenye nchi yako kama upo Somalia!!

Karma iendelee kuwakamata wote walioumiza Watanzania!
 
Wote watafufuka - NCCR, ACT, TADEA, TLP, NRA, TPP, UPD... Hiyo mimba yako aliyokupa CHADEMA utajifungua lini?
 
Hahahaha,sisi tunaendelea kufukiza Kuni mbichi kwenye pango!Mtifuano ndio kwanza imeanza,mpaka mbaki vipande vipande!
Bado Kuna za chini chini juu ya uzanzibar wa Maushungi!
Bado Kuna zile kero za muungano zilizotatuliwa Kwa Zanzibar kupewa kila watakacho!
Bado Kuna team Ndugai humo CCM kwenu,ukijumlisha na sukuma gang basi mpasuko ni lazima!

Sisi ni kuchochea Kuni tu!!!
 
Idugunde wakati hujamalizia kilio cha March 6 mwaka jana ghafla wanaongeza nyundo nyingine kisogoni. Wewe lazima wakuue nakwambia!
 
Ni Mpumbavu tu ndio Anaweza kuwa na MAWAZO kama YAKO
 
zu
Zungu, kibajabi, vicky kamata, kingu, viongozi wa UVCCM na wote waliokuwa wanashinikiza jobo ajiuzulu ni wanachadema?
 
Idugunde wakati hujamalizia kilio cha March 6 mwaka jana ghafla wanaongeza nyundo nyingine kisogoni. Wewe lazima wakuue nakwambia!
Ahaaa, acha nicheke
 
Mleta mada huna hoja kabisa.
Chadema ni wananchi wa kawaida, wanaweza kuwa na mitizamo yoyote kuhusiana na Ndugai kama ilivyo kwa wanaCCM.

Pia sote tunajua Ndugai hakuwahi kuwa mtu mwema dhidi ya CHADEMA, alipenda kuona Lissu anakufa, Mbowe anapotezwa, Lema anapotezwa, Msigwa anapotezwa nk. Sasa hapo unategemea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…