Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Ni aibu sana kwa mwananchi kudhani kuwa mustakabali wa uhuru, utawala bora na maendeleo endelevu yataletwa na CDM!
Vyama ni nyenzo tu. Kama wananchi bado hawajitambui kama mleta mada anavyodhihirisha basi ccm itazidi kutawala pamoja na uchakavu wake wote!
NB: Kikwazo cha mabadiliko Tanzania ni wananchi wenyewe!