Ndugai amejiuzulu, CHADEMA mtafufuka kisiasa?

Naona mmekenua meno na vijinopembe huku mkisahau kuwa kisiasa mna hali mbaya sana. Maana pamoja na kutembeza mabakuli ya kidigital lakini hamkupata sapoti

Mbali na hilo wananchi hawana imani na nyie ya kisiasa tena maana hata mkiitisha mkutano hawajitokezi kabisa.View attachment 2071144

Wanafurahia mambo yasiyokuwa na faida kwao

Hao ni wapenzi washangiliaji
 
Naona mmekenua meno na vijinopembe huku mkisahau kuwa kisiasa mna hali mbaya sana. Maana pamoja na kutembeza mabakuli ya kidigital lakini hamkupata sapoti

Mbali na hilo wananchi hawana imani na nyie ya kisiasa tena maana hata mkiitisha mkutano hawajitokezi kabisa.View attachment 2071144
Hahaha unajarib ku spin issue iliyopo kiaina.
Nikupe pole na nikwambie tu ni njia ya kitoto na ya zamani. Tafuta mpya
 
Hahahah watetea legacy mnazid kuzama
Naona mmekenua meno na vijinopembe huku mkisahau kuwa kisiasa mna hali mbaya sana. Maana pamoja na kutembeza mabakuli ya kidigital lakini hamkupata sapoti

Mbali na hilo wananchi hawana imani na nyie ya kisiasa tena maana hata mkiitisha mkutano hawajitokezi kabisa.View attachment 2071144
 
Naona mmekenua meno na vijinopembe huku mkisahau kuwa kisiasa mna hali mbaya sana. Maana pamoja na kutembeza mabakuli ya kidigital lakini hamkupata sapoti

Mbali na hilo wananchi hawana imani na nyie ya kisiasa tena maana hata mkiitisha mkutano hawajitokezi kabisa.View attachment 2071144

Wewe hushituki kwa yanayoendelea. Muda mwingine weka uchama pembeni. Haya yote yanayotokea Sasa hivi Ni karma tu. Na itaendelea kuwatafuna hata mkijificha. Walikuwepo wenye kudharau CHADEMA kuliko wewe leo wapo wapi?. Kuna mtu aliidhaau CHADEMA Kama Ndugai?. Leo kaachia madaraka bila kupenda.
 
Hawana mipango wala mahesabu

Wenye mipango na mahesabu ndio hao wanaochambana hadharani?. Yani wenye mipango na mahesabu wanaamini kwenye mikopo ndio Tanzania itaendelea. Wenye mipango na mahesabu ndio hao wanaotoza na kukopa kwa wakati mmoja?. Wenye mipango na maendeleo ndio hao walioleta Deni la Trillion 82 nchin?. Wenye mipango na maendeleo ndio hao wanaokopa ili walipe madeni?. Be serious sometimes.
 
Hi ndio faraja mliobaki nayo?. Mnaendekeza uchama bila kuangalia utaifa. Wagombane Rais na Speaker wewe uingize CHADEMA. Lazima ufahamu kitendo Cha speaker kujiuzulu kisa tu kutofautiana na Rais , na baadae wabunge anaowaongoza kumgeuka na kumpiga vijembe ni mapungufu makubwa Sana. Baadala uangalie hatari iliyopo mbele ya kwamba kesho tutakuwa na speaker dhaifu na Bunge dhaifu lisilokuwa na uwezo wa kuisimamia serikali, wewe umekazania kumkebehi mbowe ambaye hata hayupo uraiani.
 
Sukuma Gang chaliii, hilo tu linatosha!!!

Wametesa sana watu kwa chuki zao binafsi,,

Mwacheni mama aendeshe nchi sasa watanzania wakae kwenye nchi yao kwa amani! Mtu unaishi kwenye nchi yako kama upo Somalia!!

Karma iendelee kuwakamata wote walioumiza Watanz
Sukuma gang ni kina nani?
 
Naona mmekenua meno na vijinopembe huku mkisahau kuwa kisiasa mna hali mbaya sana. Maana pamoja na kutembeza mabakuli ya kidigital lakini hamkupata sapoti

Mbali na hilo wananchi hawana imani na nyie ya kisiasa tena maana hata mkiitisha mkutano hawajitokezi kabisa.View attachment 2071144
Naona umeshakula za uso tena!!kweli sponsor akifa ni mateso, maumivu ya Le General ole sabaya, hayajaisha, leo tena ya le field Marshall Ndugai!!kweli kulia ni kupokezana!!bado yule mwingine radar zina msearch tu akiingia 18 tu, imooo!!
Yaani nchi ilikuwa kama somalia vile enzi za wababe wa kivita!!MUNGU FUNDI.
 
Leo wamegeuka wameanza kumtetea, hawa jamaa hawaeleweki wanataka kitu gani

Kumtetea ndugai haimanishi ya kwamba CHADEMA imebariki maovu aliyowafanyia huko nyuma bali ni nguvu ya hoja yake. Kumbuka Rais Magufuri jinsi alivyoipiga chadema lakini ni hiyo CHADEMA wakati anaumwa ndio ilipiga kelele kwamba Rais anaumwa na ndio walikuwa mstari wa mbele kudai rais amefariki. Wana CCM walikuwa kimya na wengine kusema uongo kuwa anachapa kazi. Somo ni kwamba umdhaniae siye ndiye.
 
Naona mmekenua meno na vijinopembe huku mkisahau kuwa kisiasa mna hali mbaya sana. Maana pamoja na kutembeza mabakuli ya kidigital lakini hamkupata sapoti

Mbali na hilo wananchi hawana imani na nyie ya kisiasa tena maana hata mkiitisha mkutano hawajitokezi kabisa.View attachment 2071144
Chama siyo jengo wewe....Ni Imani ya MTU toka moyoni..Wekeni usawa kwenye uchaguzi nyie CCM...Policcm wakae Kando pia...Tufani itakayotoka kwenye Hilo jengo bovu Na chakavu,CCM,hawawezi kuikabili walahi..,Ni mapema tu CCM,Chali...Cheki Na Waitara pia..
 
Back
Top Bottom