Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Limeumiza bunge!Hili la Ndugai limekuumiza sana...take it easy...litapita tu.
Mjinga hawezi kuelewa hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Limeumiza bunge!Hili la Ndugai limekuumiza sana...take it easy...litapita tu.
Bunge halikuanza kuumizwa jana au leo....awamu ya 5 ni mfano tosha wa namna bunge lilivyoumizwa.Limeumiza bunge!
Mjinga hawezi kuelewa hili
MmmhhhhNaona umeshakula za uso tena!!kweli sponsor akifa ni mateso, maumivu ya Le General ole sabaya, hayajaisha, leo tena ya le field Marshall Ndugai!!kweli kulia ni kupokezana!!bado yule mwingine radar zina msearch tu akiingia 18 tu, imooo!!
Yaani nchi ilikuwa kama somalia vile enzi za wababe wa kivita!!MUNGU FUNDI.
Kwa hiyo sasa kwa vike tumezoea basi tuendelee kuchekelea na kushangilia tu likiumizwa zaidi?Bunge halikuanza kuumizwa jana au leo....awamu ya 5 ni mfano tosha wa namna bunge lilivyoumizwa.
...hizi kelele kama hazikusaidia jana unadhani zitasaidia leo?...kwanini tutatue matokeo badala ya kutatua chanzo (katiba).Kwa hiyo sasa kwa vike tumezoea basi tuendelee kuchekelea na kushangilia tu likiumizwa zaidi?
Chanzo siyo katiba!...hizi kelele kama hazikusaidia jana unadhani zitasaidia leo?...kwanini tutatue matokeo badala ya kutatua chanzo (katiba).
Hao Watz wameshangilia tu anguko la Ndugai ila sio bunge kubutuliwa.Chanzo siyo katiba!
Maana hata hii ya sasa haijaruhusu hayo kutokea..
Chanzo ni upumbavu wa watz. Si umeona wameshangilia bunge kubutuliwa wakidhani wanamkomoa Ndugai?
Sasa Ndugai amebutuliwa vipi?Hao Watz wameshangilia tu anguko la Ndugai ila sio bunge kubutuliwa.
Ndugai pia usisahau ndio aliofungua njia ya bunge kuingiliwa na muhimili mwingine kwa kukubali kuwa kibaraka na ndio maana hata madaraka yake ya kikatiba yameshindwa kumlinda maana yeye ndio alianza kuyadharau.
Huenda bunge likawa ndio limefungwa mdomo mazima ila Ndugai na wabunge wake hawawezi kukwepa lawama.Sasa Ndugai amebutuliwa vipi?
Kilichobutuliwa pale ni bunge
Aliyesema wadhibiti Bungeni wakitoka nje huku Mimi nitawadhibiti - hana uwezo wa kudhibiti tena
Aliyepewa maelekezo ya kuwadhibiti Bungeni - Naye anadhibitiwa muda huu
Lawama zipi tena wakati alipijaribu kupanua mdomo mmeungana kumshambulia?Huenda bunge likawa ndio limefungwa mdomo mazima ila Ndugai na wabunge wake hawawezi kukwepa lawama.
Nilitarajia na wewe utakuwa umefurahia sana mapenzi ya Rais wetu Mama Samia kutimizwa kwa mtu fitna kujiuzulu, kumbe sio!
Are you torn between the two - as usual?
CHADEMA walishajifia zamani. Hawana uwezo wa kujua faida wala hasara. No need to keep flogging a “dead horse” [emoji16]
Nchi ni ya wananchi... maamuzi ya watawaliwe na nani kwa kipindi gani yapo mikononi mwao!Kwa yaliyotokea kwenye chaguzi za 2019 na 2020, kilichobakia labda wananchi waanzishe mapambano ya vurugu na dola.
Wawe tayari kwa maafa makubwa ya kitaifa kama yanayoendelea Sudan na Kazakhstan muda huu. Inawezekana na inakubalika?
Watapata nini ? Nani achague li CHADEMA lililojifia siku mwenyekiti wao alipobadili gia angani.