Ndugai amejiuzulu, CHADEMA mtafufuka kisiasa?

Chadema vs Ccm ni sawa na simba vs Yanga

Yaani CCM hofu yao kw asilimia mia ni CHADEMA

Kuna vyama zaidi ya 15 lakini jicho la ccm ni Chadema
 
Kila mchuma janga hula na wa kwao. Imekula kwenu.
 
Hizi nyundo mnazokula hii miaka mfululizo mtakufa.

Polepole chali, Sabaya Jela, Makonda Balaa tupu, Ndugai tupa kule.
 
Chadema haijafa, halafu ndugai hawezi isambaratisha chama kikuu cha upinza
 
Mimi nilijua Chadema imekufa! Kumbe bado ipo na inaendelea kuwatesa mpaka leo, na kama wako hoi kisiasa wewe unaumia wapi?
 
Kwani walikuwa wamekufa au jpm aliamua kutumia malisasi tu kuiua chadema lakini hakujua kuwa chadema iko kwenye damu ya watanzania. We ngoja hiyo tume huru ya uchaguzi ije ndo utaona mziki wa chadema. Kama hawatakomba viti vyote vya ubunge na udiwani utaniambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…