Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
sio wao tuu, wananchi wote wamefurahi huyu bwana kujiuzulu!!alikosa sifa na weledi wa kuendesha bungeNaona mmekenua meno na vijinopembe huku mkisahau kuwa kisiasa mna hali mbaya sana. Maana pamoja na kutembeza mabakuli ya kidigital lakini hamkupata sapoti
Mbali na hilo wananchi hawana imani na nyie ya kisiasa tena maana hata mkiitisha mkutano hawajitokezi kabisa.View attachment 2071144
Sukuma gang ni kina nani?
Hii amani inamhusu hata gaidi pia?Sukuma Gang chaliii, hilo tu linatosha!!!
Wametesa sana watu kwa chuki zao binafsi,,
Mwacheni mama aendeshe nchi sasa watanzania wakae kwenye nchi yao kwa amani! Mtu unaishi kwenye nchi yako kama upo Somalia!!
Karma iendelee kuwakamata wote walioumiza Watanzania!
Wote hao wataungana 2025 kuwapelekea moto!Hahahaha,sisi tunaendelea kufukiza Kuni mbichi kwenye pango!Mtifuano ndio kwanza imeanza,mpaka mbaki vipande vipande!
Bado Kuna za chini chini juu ya uzanzibar wa Maushungi!
Bado Kuna zile kero za muungano zilizotatuliwa Kwa Zanzibar kupewa kila watakacho!
Bado Kuna team Ndugai humo CCM kwenu,ukijumlisha na sukuma gang basi mpasuko ni lazima!
Sisi ni kuchochea Kuni tu!!!
Gaidi kwani hapa somalia, utawapa wa kisomalia tanzania ulishapita, samia hoyeee,,Hii amani inamhusu hata gaidi pia?
Sasa kwani yule gaidi pale ukonga anafanya nini?Gaidi kwani hapa somalia, utawapa wa kisomalia tanzania ulishapita, samia hoyeee,,
Penda usipende akimaliza mikumu hata kama hapendi tunampa mikumi tena, ukisikia mimba ya kichefu chefu kajifungulie huko
Sisiyemu kama wanaamini katika maendeleo waliyoleta waruhusu mikutano ya kisiasa au tume huru ya uchaguzi.
Au tufanye uchaguzi tuu wanajaribio majibu watapata
Wenye gaidi watajua wenyewe, tunachojua Tanzania ina amani, hakuna kutishiana wasiojulikana, hakuna miungu watu, binadamu wote ni sawa,Sasa kwani yule gaidi pale ukonga anafanya nini?
Nyie machawa wa mama vipi?
Na nyie chawa wa mama ndio mmeamua kunajisi na bunge kabisa?Wenye gaidi watajua wenyewe, tunachojua Tanzania ina amani, hakuna kutishiana wasiojulikana, hakuna miungu watu, binadamu wote ni sawa,
Tarehe 17 March, ni kumbukumbu ya furaha, Mungu fundi, na chawa wake wote wataendelea kupukutika na kuisha kabisa! Karma is a bitch!!
Naona mmekenua meno na vijinopembe huku mkisahau kuwa kisiasa mna hali mbaya sana. Maana pamoja na kutembeza mabakuli ya kidigital lakini hamkupata sapoti
Mbali na hilo wananchi hawana imani na nyie ya kisiasa tena maana hata mkiitisha mkutano hawajitokezi kabisa.View attachment 2071144
Wanafurahia mambo yasiyokuwa na faida kwao
Hao ni wapenzi washangiliaji
Mtabaki vipande vipande!Wote hao wataungana 2025 kuwapelekea moto!
Au hamjifunzi kutokana na historia?
Unahaha sana kiongozi..!!! Mara useme ile clip ya Ndugai ilidukuliwa, mara Ndugai kajiuzulu sijui CDM makorokocho yaani ilimradi usemeNaona mmekenua meno na vijinopembe huku mkisahau kuwa kisiasa mna hali mbaya sana. Maana pamoja na kutembeza mabakuli ya kidigital lakini hamkupata sapoti
Mbali na hilo wananchi hawana imani na nyie ya kisiasa tena maana hata mkiitisha mkutano hawajitokezi kabisa.View attachment 2071144
sio wao tuu, wananchi wote wamefurahi huyu bwana kujiuzulu!!alikosa sifa na weledi wa kuendesha bunge
Hili la Ndugai limekuumiza sana...take it easy...litapita tu.Wote hao wataungana 2025 kuwapelekea moto!
Au hamjifunzi kutokana na historia?
Ni aibu sana kwa mwananchi kudhani kuwa mustakabali wa uhuru, utawala bora na maendeleo endelevu yataletwa na CDM!
Vyama ni nyenzo tu. Kama wananchi bado hawajitambui kama mleta mada anavyodhihirisha basi ccm itazidi kutawala pamoja na uchakavu wake wote!
NB: Kikwazo cha mabadiliko Tanzania ni wananchi wenyewe!