Ndugai asisahau, kadi yake ya CCM ndio inampa uspika, CCM wanaweza kuiondoa muda wowote na akawa raia wa kawaida tu

Hadi 2025 tutafanikiwa kupata CCM B ambayo inaweza kuongoza nchi
 
Kuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia .. wasindanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma
Kirahisi namna hiyo kama kufukuzwa kwenye group la wahatsapp?
 
CCM hapo ilipo ina makundi kibao ambayo ni zaidi ya vyama vya siasa vingine.
 
Sana.... Anaingia bungeni baada ya kupata clearance ya maafisa usalama pale getini, wakigoma gari yake isiingie haiingii, hata dereva wake ni wetu, badala ya kumpeleka bungeni anaweza kumpeleka singida au arusha na kikao Cha Bunge alichokipanga kikwame

Hata dereva wa rais ni wenu pia
 
Kuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia .. wasindanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma
Usfikiri ni rahisi kihivyo kama mnavyoaminishwa.......!!
 
CCM wanaweza kuiondoa kadi ya Ndugai muda wowote na akawa raia wa kawaida tu, ila kabla hilo halijafanikiwa atapiga kura ya kutokuwa na imani na maza​

Hatakuwa na sehemu ya kupigia kura, pale bungeni patajazwa military police na makomandooo kutoka vikosi vyote vya jeshi, hakuna mtu yeyote kuingia ndani, na robo tatu ya hao wabunge watakuwa wakihojiwa kwenye kambi mbalimbali za jeshi na Ofisi za usalama wa taifa, Samia ni Amiri Jeshi Mkuu
 
CDF awaonee huruma watanganyika. Iko kama tunapotea
 
Mojawapo ya sifa ya kuchaguliwa kuwa mbunge ni lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa hivyo ikitokea CCM ikamvua uanachama Ndugai itakuwa imeondoa ubunge wake na kuondoa sifa ya kuwa mbunge hivyo kutokana na kuondokana na sifa hiyo atakuwa amepoteza uspika automatically.

Ama kweli mwenyekiti wa CCM ana nguvu sana, kikao kizima cha bunge anakiongoza yeye hivyo anachofanya ni kumuachia tu spika kwa sababu hawezi kukaa ikulu na bungeni kwa pamoja
Kwani yeye hakulijua ili? Tupeni mchakato ambao unatumika kupata Speaker mpya, maana muda unakimbia tumsaidie Mh. SSH kuondoa magugu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Sana.... Anaingia bungeni baada ya kupata clearance ya maafisa usalama pale getini, wakigoma gari yake isiingie haiingii, hata dereva wake ni wetu, badala ya kumpeleka bungeni anaweza kumpeleka singida au arusha na kikao Cha Bunge alichokipanga kikwame
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia .. wasindanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma

Kwa taarifa yako hata Ndugai akiporwa kadi ya CCM ataendelea kuwa spika. Hukumbuki Mwambe alijitoa CDM akiwa mbunge kwenda kuunga juhudi, na bado akamrudisha bungeni kinyume cha sheria? Umesahau yuko na wabunge waliovuliwa uanachama na bado wako bungeni? Mporeni kadi muone kama ataachia uspika. Msisahau kuwa ana kinga ya kutoshtakiwa akiwa au ametoka madarakani.
 
huu uzi ni wa ovyo sana.kila mtu ana haki ya kuchalenji na kuunga mkono lolote nchi ni ya demokrasia.spika katoa maoni yake na wala si kwamba ndo anampinga Rais.

Huyo spika alikuwa anafukuza wapinzani bungeni kwa kutoa maoni yao. Acha karma ifanye kazi yake.
 
Back
Top Bottom