Midimay
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 3,036
- 5,039
CCM sio chama cha siasa. It is a political system ya nchi. Ndio maana kuna hawakubaliani nayo lkn wapo humo.CCM ni chama dume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM sio chama cha siasa. It is a political system ya nchi. Ndio maana kuna hawakubaliani nayo lkn wapo humo.CCM ni chama dume
Kirahisi namna hiyo kama kufukuzwa kwenye group la wahatsapp?Kuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia .. wasindanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma
Kakudanganya nani, spika siyo lazima awe mbunge......Sasa atakuwaje mbunge.. akivuliwa ubunge anakuwa hana sifa ya kuwq spika
Wangemtwanga risasi tu kama walivyofanya kwa Tundu Lissu
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Sana.... Anaingia bungeni baada ya kupata clearance ya maafisa usalama pale getini, wakigoma gari yake isiingie haiingii, hata dereva wake ni wetu, badala ya kumpeleka bungeni anaweza kumpeleka singida au arusha na kikao Cha Bunge alichokipanga kikwame
Usfikiri ni rahisi kihivyo kama mnavyoaminishwa.......!!Kuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia .. wasindanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma
Hatakuwa na sehemu ya kupigia kura, pale bungeni patajazwa military police na makomandooo kutoka vikosi vyote vya jeshi, hakuna mtu yeyote kuingia ndani, na robo tatu ya hao wabunge watakuwa wakihojiwa kwenye kambi mbalimbali za jeshi na Ofisi za usalama wa taifa, Samia ni Amiri Jeshi MkuuCCM wanaweza kuiondoa kadi ya Ndugai muda wowote na akawa raia wa kawaida tu, ila kabla hilo halijafanikiwa atapiga kura ya kutokuwa na imani na maza
Huyu mwamba kagusa pabovuKuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia .. wasindanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma
CDF awaonee huruma watanganyika. Iko kama tunapoteaHatakuwa na sehemu ya kupigia kura, pale bungeni patajazwa military police na makomandooo kutoka vikosi vyote vya jeshi, hakuna mtu yeyote kuingia ndani, na robo tatu ya hao wabunge watakuwa wakihojiwa kwenye kambi mbalimbali za jeshi na Ofisi za usalama wa taifa, Samia ni Amiri Jeshi Mkuu
Kwani yeye hakulijua ili? Tupeni mchakato ambao unatumika kupata Speaker mpya, maana muda unakimbia tumsaidie Mh. SSH kuondoa magugu.Mojawapo ya sifa ya kuchaguliwa kuwa mbunge ni lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa hivyo ikitokea CCM ikamvua uanachama Ndugai itakuwa imeondoa ubunge wake na kuondoa sifa ya kuwa mbunge hivyo kutokana na kuondokana na sifa hiyo atakuwa amepoteza uspika automatically.
Ama kweli mwenyekiti wa CCM ana nguvu sana, kikao kizima cha bunge anakiongoza yeye hivyo anachofanya ni kumuachia tu spika kwa sababu hawezi kukaa ikulu na bungeni kwa pamoja
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]Sana.... Anaingia bungeni baada ya kupata clearance ya maafisa usalama pale getini, wakigoma gari yake isiingie haiingii, hata dereva wake ni wetu, badala ya kumpeleka bungeni anaweza kumpeleka singida au arusha na kikao Cha Bunge alichokipanga kikwame
Kuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia .. wasindanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma
Anapigia wapi?[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]CCM wanaweza kuiondoa kadi ya Ndugai muda wowote na akawa raia wa kawaida tu, ila kabla hilo halijafanikiwa atapiga kura ya kutokuwa na imani na maza
huu uzi ni wa ovyo sana.kila mtu ana haki ya kuchalenji na kuunga mkono lolote nchi ni ya demokrasia.spika katoa maoni yake na wala si kwamba ndo anampinga Rais.