Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndomaana huwa nasema hakuna hata moja la kweli ambalo CDM mmewahi kulipigiania , mara zote huwa mmetanguliza masilahi yenu na sio Taifa.Wakuu soon tamko la katibu wa bunge kwenda kwa wabunge wote wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwa lazima wachanjwe la sivyo hawataruhusiwa kuingia bungeni mwenzi ujao .
Wabunge watatakiwa kuwasilisha kadi za chanjo kwa walinzi ili kuruhusiwa kuingia bungeni.
Wabunge wanatakiwa kuwa mifano ya jamii na chama Cha mapinduzi na kumuunga mkono mh. Rais ambaye tayari amesha chanjwa.
MY TAKE. Msimamamo wa gwajiboy na poleople utaonekana hasa wakigoma kuingia bungeni
USSR
Na ikiletwa hoja kwamba wachungaji na wahubiri wote lazima wachanjwe ili kuendelea kutoa huduma, atatokea wapi?Ila Gwaji akiacha ubunge kupinga chanjo graph yake itapanda mara 100000
Hata mwimba pambio wa enzi zako pendwa unaanza kuwaponda wenzio, ni hadaa au umejitambua kweli? Kwani wanakijani mpo tayari kufanya chochote almuradi akili haihitaji kufikiri ila tumbo na kutangulizaa ubinafsi na maslahi yenu mbele na sii maslahi ya taifa mbele.Wazalendo au watia legacy ,ni washamba wa kisiasa
USSR
Mbona Walisema CHANJO NI HIARI YAMEKUWAJE TENA?mbwa anakula Vitoto vyake kumbe ni Lazima?Wakuu soon tamko la katibu wa bunge kwenda kwa wabunge wote wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwa lazima wachanjwe la sivyo hawataruhusiwa kuingia bungeni mwenzi ujao .
Wabunge watatakiwa kuwasilisha kadi za chanjo kwa walinzi ili kuruhusiwa kuingia bungeni.
Wabunge wanatakiwa kuwa mifano ya jamii na chama Cha mapinduzi na kumuunga mkono mh. Rais ambaye tayari amesha chanjwa.
MY TAKE. Msimamamo wa gwajiboy na poleople utaonekana hasa wakigoma kuingia bungeni
USSR
Wengine tunaona ni kijiwe cha porojo mithili ya vile vijiwe vya kahawa.Si vizuri kutisha bunge madhara yake ni makubwa kwa serikali
Ni.kuwa serikali inatishia bunge au wabunge kupitia vikao vyao ndio wameamua hivyo
Mleta mada hii habari uzushi bunge Lina taratibu zake za kikanuni za kuamua wafanye Nini
Katibu wa bunge Hana ubavu was kuliburuza bunge kwenye lolote
Bunge ndio hukaa na kuweka kanuni zake hawapabgiwi na katibu wa bunge, serikali Wala mahakama
Hii chanjo wapiga debe wa Chanjo mwende taratibu Kuna maeneo huwezi tu ku enforce kienyeji hivyo
Katibu wa bunge Ni mti mdogo Sana kwenye bunge Hana huo ubavu.Ila wabunge wenyewe wakiweka hiyo kuwa kanuni happy sawa
Umeandika kishari na bila kuangalia sheria na kanuni za bunge zinasenaje
Nchi za ulaya hata dukani kwa mangi uruhusiwi kuingia kama haujachanjwaNoma Sana hata misikitini na kanisani .maca bila chanjo huuingii kuswali
USSR
Ni mpaka mahakama iseme hivyo mkuu.Ilo tamko litakuwa batili maana halina msingi wa kisheria nyuma yake, kuchanja ni hiari na uwezi kufanya hiari ikawa lazima. Wewe ukishachanjwa means uweI kuambukizwa so huna umuhimu wa kuangaika na wasiotaka kuchanjwa
Viongozi wa dini wanna watu Tena loyal hasa mwanasiasa Hana watu kitakachotikea Ni mwanasiasa kuumia sababu mwanasiasa Hana permanent na highly loyal followers!!! Effect it's bounce back kwa mwanasiasa sio kiongozi was diniNa ikiletwa hoja kwamba wachungaji na wahubiri wote lazima wachanjwe ili kuendelea kutoa huduma, atatokea wapi?
Hapa Ni Tanzania Sio ulayaNchi za ulaya hata dukani kwa mangi uruhusiwi kuingia kama haujachanjwa
Kwani mkiwazuaia kuna jipya? CCM bana.Wakuu soon tamko la katibu wa bunge kwenda kwa wabunge wote wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwa lazima wachanjwe la sivyo hawataruhusiwa kuingia bungeni mwenzi ujao .
Wabunge watatakiwa kuwasilisha kadi za chanjo kwa walinzi ili kuruhusiwa kuingia bungeni.
Wabunge wanatakiwa kuwa mifano ya jamii na chama Cha mapinduzi na kumuunga mkono mh. Rais ambaye tayari amesha chanjwa.
MY TAKE. Msimamamo wa gwajiboy na poleople utaonekana hasa wakigoma kuingia bungeni
USSR
Hivi chakubanga ataambia nini watu?Wachague posho au misimamo, mtego mchungu kweli, ukiacha kuchanjwa na ukaacha posho bado chama kitakushughulikia kwa nini unaenda kinyume na maazimio ya chama.
Hapo ni lazima wote wachanje ili wawe na hivyo vyeti.
Comrade wewe jifukuze kumuenzi mpendwa wako mzee pombe.Hapa Ni Tanzania Sio ulaya
Ndio hivyo mkuu gwajinga uingii bungeni mpk uchanjwe hakuna namnaHapa Ni Tanzania Sio ulaya