#COVID19 Ndugai: Chanjo ni hiyari ila hauna hiyari kuambukiza wenzako

Hatuwezi kumkwepa mzungu wakati tunalala kwake na hata majina haya katupa yeye!
Hakika sisi ni wa Mzungu na kwake tutarudi!
 
Wakuu soon tamko la katibu wa bunge kwenda kwa wabunge wote wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwa lazima wachanjwe la sivyo hawataruhusiwa kuingia bungeni mwenzi ujao .

Wabunge watatakiwa kuwasilisha kadi za chanjo kwa walinzi ili kuruhusiwa kuingia bungeni.

Wabunge wanatakiwa kuwa mifano ya jamii na chama Cha mapinduzi na kumuunga mkono mh. Rais ambaye tayari amesha chanjwa.

MY TAKE. Msimamamo wa gwajiboy na poleople utaonekana hasa wakigoma kuingia bungeni

USSR
Nouma sanaaa
 
[emoji3][emoji3][emoji2][emoji2]kama vile nawaona watakavyo tii amri,itakuwa kali sana hii. Gwaji pia kuna spana nyingine ya usajili wa taasisi za dini kila baada ya miaka mitano sijui kama itamuacha salama.
 
Ccm mlikua mnapinga chanjo, mmepatwa na nini tena??
 
Ndio hivyo mkuu gwajinga uingii bungeni mpk uchanjwe hakuna namna
moderators habari kama hizi za uzushi muwe mnazitupa kwenye Dustin.Ni uzushi usio na uthinitisho nà ujinga mtupu

Njia za kujikinga na corona sio chanjo tu kuna kuvaa barakoa na social distance ambazo bunge laziweza nyie madalali wa chanjo aliyewadanganya kuwa kinachotatakiwa bungeni lazima kiwe chanjo tu Nani?

Waweza kaa social distance tosha

Chanjo chanjo hoja zenu mufilisi
 
Viongozi wa dini wanna watu Tena loyal hasa mwanasiasa Hana watu kitakachotikea Ni mwanasiasa kuumia sababu mwanasiasa Hana permanent na highly loyal followers!!! Effect it's bounce back kwa mwanasiasa sio kiongozi was dini
Mwanasiasa aweza jikuta akipita sehemu waumini wenye kiongozi wao aliyeumizwa wanamzomea msafara wake

Haya Mambo kunatakiwa washauri wazuri waliotulia wanaojua ku focusbali sio tu kuangalia mwisho kwenye pua zao

Hoja Kama hixo zitaenda kuchonganisha waumini na viongozi wa siasa .Waumini so wafuasi loyal Sana kwa kiongozi wa siasa loyality yao iko kubwa mno kwa kiongozi wa dini

Mfano unasema imamu wa siasa Kali asiingie kutoa huduma msikitini kama hajachanjwa kitakachotokea unakijua ? Waumini hawatatii wanaanza kuvaa mabomu na kujilipua kuwa kafiri anazuia imamu wao asiingie Msikitini!!

Hili swala likikosa weledi na ushawishi mzuri usio coercive litaenda vizuri lakini matumizi ya Mabavu kwa Tanzania kutakuwa na negative effect kubwa mno
Hapa Ni Tanzania Sio ulaya
Nchini Ufaransa kama hujachanjwa hutaruhusiwa kuingia sokoni, supermarkets, disco nk.
Nchini Saudi Arabia kama hujachanjwa hutaruhusiwa kuhudhuria ibada ya Hijja.
Nadhani nasi tutaiga hilo kama ilivyo kawaida, na hivyo utaratibu huo ukiletwa hapa yafaa tuunge mkono tu.
 
Hatuwezi kumkwepa mzungu wakati tunalala kwake na hata majina haya katupa yeye!
Hakika sisi ni wa Mzungu na kwake tutarudi

Nchini Ufaransa kama hujachanjwa hutaruhusiwa kuingia sokoni, supermarkets, disco nk.
Nchini Saudi Arabia kama hujachanjwa hutaruhusiwa kuhudhuria ibada ya Hijja.
Nadhani nasi tutaiga hilo kama ilivyo kawaida, na hivyo utaratibu huo ukiletwa hapa yafaa tuunge mkono tu.
Ya Nchi za watu yaacheni huko Sisi sio Nchi zao na si.kila mtanzania ana mpango wa kwenda hizo Nchi zao huko.kwao sio mbinguni nyie miroho mipenda kwao Nchi za watu ndio mwende mkachanje
 
[emoji3][emoji3][emoji2][emoji2]kama vile nawaona watakavyo tii amri,itakuwa kali sana hii. Gwaji pia kuna spana nyingine ya usajili wa taasisi za dini kila baada ya miaka mitano sijui kama itamuacha salama.
Unahangaika na kiongozi unasahau kuwa ana maelfu ya watu nyuma!!!! Matumizi ya nguvu si sahihi kwenye hili swala Chanjo.Inatumika nguvu kubwa kuliko ushawishi Lita explode hili .Mwisho sio mzuri
 
Hivi hawa wana undugu wowote ?
fotor_1628796366869.jpg
 
Back
Top Bottom