Nnangale
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 2,664
- 1,379
Hapo n
ndipo gwaji yupo sawa kama waliochanjwa wanajilinda sawa na wasiochanjwa then chanjo ya nini?Si vizuri kutisha bunge madhara yake ni makubwa kwa serikali
Ni.kuwa serikali inatishia bunge au wabunge kupitia vikao vyao ndio wameamua hivyo
Mleta mada hii habari uzushi bunge Lina taratibu zake za kikanuni za kuamua wafanye Nini
Katibu wa bunge Hana ubavu was kuliburuza bunge kwenye lolote
Bunge ndio hukaa na kuweka kanuni zake hawapabgiwi na katibu wa bunge, serikali Wala mahakama
Hii chanjo wapiga debe wa Chanjo mwende taratibu Kuna maeneo huwezi tu ku enforce kienyeji hivyo
Katibu wa bunge Ni mtu mdogo Sana kwenye bunge Hana huo ubavu.Ila wabunge wenyewe wakiweka hiyo kuwa kanuni happy sawa
Umeandika kishari na bila kuangalia sheria na kanuni za bunge zinasenaje