#COVID19 Ndugai: Chanjo ni hiyari ila hauna hiyari kuambukiza wenzako

huyo aliekua na misimamo ya kinekitile ngwale aliponza wenzie wakaenda na changamoto ya upumuaji, mwisho wa siku ikammalizia mwenyewe we unaongea ujinga gani?
 
huyo aliekua na misimamo ya kinekitile ngwale aliponza wenzie wakaenda na changamoto ya upumuaji, mwisho wa siku ikammalizia mwenyewe we unaongea ujinga gani?
Hata vilaza wanajiamaini Sana mjini, hajui kilichomuuwa JPM ni Nini?


USSR
 
Serikali imesema ni hiari, hakuna kitu kama hicho. Waliochanjwa wanaogopa nini? Wao si wako salama, wacheni ukuda.
 
Ni busara kwa wabunge wote ,wafanyakazi wa wizara ya afya,wafanyakazi wote wanaofanya kazi katika viwanja vya ndege vya JNIA,KAdCo na Zanzibar kuchanja Chanjo ya uviko-19.Ili Tanzania nayo itokomeza gonjwa hili.Maisha yaendelee
Huko walikochanja wote mbona ndio wanakufa zaidi na huo ugonjwa? Kila uchwao wanaongeza boosters tu!
 
Akifa askari anazaliwa mwanajeshi kumzoofisha gwajima na polepole sio mwisho wa sinema ndio kwanza CCM movie inachanganyia
 
Askofu Rashid na Comrade Polepole
Na hapa ndipo mpasuko unapo enda kutokea.
I'm sure hawa watu wana watu wengi wazito ndani ya chama wanao waunga mkono.
Sooner panaenda kutokea ombwe la uongozi nchini.
 
Askofu rashidi achague moja, achanje aingie bungeni apate posho au asichanje abaki kwenye godown lake aendelee kufufua misukule.
Askofu Rashid na Polepole tayari kunajambo wameling'amua. Na hawa lazima wana invisible hugely backup. Na kuna Jambo kubwa linaenda kutokea hapa nchini ambalo litapelekea ombwe la uongozi.
 
R.I.P Magufuli.
 
Mtego mkali!!itakuja kwa watumishi wa Umma!!
Watumishi wa umma ndiyo rahisi sana kuwapata Hahaha! HR anaagizwa tu ili uwekwe kwenye mkeka wa mshahara lazima uoneshe kwanza cheti cha chanjo, full stop!! Hapo waumini wa Gwajima watakimbizana mahospitalini kuchanja, and by that time chanjo zimeisha, kuna watu watapigwa na njaa street miezi sita kusubiri chanjo zije awamu ya pili
 
Na hapa ndipo mpasuko unapo enda kutokea.
I'm sure hawa watu wana watu wengi wazito ndani ya chama wanao waunga mkono.
Sooner panaenda kutokea ombwe la uongozi nchini.
Acha ramli! Mlianza oh deep state haitaki Samia apewe urais, mkaja na slogan kuwa sukuma gang watapiga kura za hapana uenyekiti wa CCM ili kutenganisha Uenyekiti na Urais!!! Now mnakuja na ramli nyingine tena, kuna faida gani kila siku kutunga uongo na unafail?
 
Huu ndio msimamo wa Dunia,hata Tzn ni hivyo.. kanakwamba haitoshi nilimsikia RPC wa Arusha akisema hivyo pia.

Kwamba kuvaa barakoa ni lazima na tahadhari nyingine kwa sababu kinyume chake unakiuka sheria ya adhabu insuohusu kuambukiza na kueneza magonjwa lazima.Alitaja vifungu vya kutosha na adhabu zake.

Ni hivi chanjo ni lazima ila ni lugha tuu inatumika kwa sababu wanaopinga hawana sababu za msingi na waliochanja hakuna shida imewapata.
 
Askofu Rashid na Polepole tayari kunajambo wameling'amua. Na hawa lazima wana invisible hugely backup. Na kuna Jambo kubwa linaenda kutokea hapa nchini ambalo litapelekea ombwe la uongozi.
Hata Kama Wana back up wanapaswa kujifunza kwa Edward Lowassa pia Fred Mpendazoe.Kwenye siasa usikubali kutangulizwa mbele eti tupo nyuma yako.Ukigeuka utajikuta mwenyewe
 
Na ikiletwa hoja kwamba wachungaji na wahubiri wote lazima wachanjwe ili kuendelea kutoa huduma, atatokea wapi?
Kuna vitu Ni rahisi kufanyika Rwanda alikoenda kutembelea kuliko Tanzania !!! Watanzania sio wapole Kama wanavyodhaniwa Ni wakinywa.Mkimya na mpole Ni watu tofauti .Mpole Ni wa kuzaliwa mkinywa anakulia Timing ukiingia anga zake anga zake ayakachokufanyia hutaamini . Watanzania Ni wakinywa unasema mabasi yote level sit wanakugomea kimya kimya Kuna mahali wanakusibiri walipuke ukijitia mjuaji

Level ya Sasa ya obedience kwenye measures za Corona ijo jui to kwa viongozi wa serikali na wafanyakazi wake. Mitaani watu hawataki .Kuna bomu litalipuka serikali ikijitia kutumia ubabe Hii tafsiri ya viongozi kuwa ndio obedient na wananchi hawataki ina Mambo Mengi Ukienda kwenye dini kubwa Kama katoliki Hali Ni hiyo hiyo barakoa anavaa padri na askofu tu waumini hawataki Misikitini hivyo hivyo..


Mama Samia anatengeneza bomu haya Mambo hayataki papara na kuiga tu Nchi zingine kwa kisingizio ohh Tanzania Sio kisiwa .Kuna Mambo Tanzania Ni kisiwa .
 
Noma Sana hata misikitini na kanisani .bila chanjo huuingii kuswali


USSR
Viongozi wa dini watakuja juu sadaka watapata wapi? Naona wewe lengo lako ninkuchonganisha serikali na viongozi wa dini.Mama Samia Akifika huko atajjijua mwenyewe.

Kwenye dini Ni eneo nyeti hasa kwa watanzania
 
Noma Sana hata misikitini na kanisani .maca bila chanjo huuingii kuswali


USSR
Hilo chanjo Ni shetani pepo la kuzimu limekuja kuleta Vita Tanzania

Baada ya kuona Tanzania imekuwa Nchi ya amani na utulivu kwa miaka nenda Rudi wazungu wameona watumie chanjo Kama njia ya kuligawa taifa la Tanzania na kuchochea Vita na Mama Samia kaingia kichwa kichwa.Ila Mungu yupo hii agenda haitafanikiwa waambieni wazungu wenu kabisa

Tanzania Sio ulaya Wala marekani wala Rwanda ndio maana tunaitwa Tanzania hatuitwi Ulaya,Marekani Wala Rwanda

Mama Samia anataka kupasua taifa vipande vipande kupitia chanjo zake

Somebody must stand up and tell her No no no no boldly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…