Dini gani nyeti au nyeti huzijuiViongozi wa dini watakuja juu sadaka watapata wapi? Naona wewe lengo lako ninkuchonganisha serikali na viongozi wa dini.Mama Samia Akifika huko atajjijua mwenyewe.
Kwenye dini Ni eneo nyeti hasa kwa watanzania
Kuanzia leo nimekudharau kumbe Ubungo wako umemjaa maji tililika namna hii eti ugonjwa ni pepoHilo chanjo Ni shetani pepo la kuzimu limekuja kuleta Vita Tanzania
Baada ya kuona Tanzania imekuwa Nchi ya amani na utulivu kwa miaka nenda Rudi wazungu wameona watumie chanjo Kama njia ya kuligawa taifa la Tanzania na kuchochea Vita na Mama Samia kaingia kichwa kichwa.Ila Mungu yupo hii agenda haitafanikiwa waambieni wazungu wenu kabisa
Tanzania Sio ulaya Wala marekani wala Rwanda ndio maana tunaitwa Tanzania hatuitwi Ulaya,Marekani Wala Rwanda
Mama Samia anataka kupasua taifa vipande vipande kupitia chanjo zake
Somebody must stand up and tell her No no no no boldly.
Ndomaana huwa nasema hakuna hata moja la kweli ambalo CDM mmewahi kulipigiania , mara zote huwa mmetanguliza masilahi yenu na sio Taifa.
Hivi watu mnaolilia utawala wa sheria, unawezaje kushadadia swala la wabunge kulazimika kusupport kitu kwakua Rais kafanya? BUNGE NA Rais wapi na wapi?
Upuuzi mtupu, watcha mnyooshwe kabisa dukani kwa mangi uruhusiwi kuingia kama haujachanjwa
umazungumzia watanzania gani?Kuna vitu Ni rahisi kufanyika Rwanda alikoenda kutembelea kuliko Tanzania !!! Watanzania sio wapole Kama wanavyodhaniwa Ni waking.Mkimya na mpole Ni watu tofauti .Mpole Ni wa kuzaliwa mkinywa anakulia Timing ukiingia anga zake anga zake ayakachokufanyia hutaamini . Watanzania Ni waking. unasema mabasi yote level sit wanakugomea kimya kimya Kuna mahali wanakusibiri walipuke ukojitia mjuaji
Level ya Sasa ya obedience kwenye measures za Corona ijo jui to kwa viongozi wa serikali na wafanyakazi wake. Mitaani watu hawataki .Kuna bomu litalipuka serikali ikijitia kutumia ubabe Hii tafsiri ya viongozi kuwa ndio obedient na wananchi hawataki ina Mambo Mengi Ukienda kwenye dini kubwa Kama katoliki Hali Ni hiyo hiyo barakoa anavaa padri na askofu tu waumini hawataki Misikitini hivyo hivyo..
Mama Samia anatengeneza bomu haya Mambo hayataki papara na kuiga tu Nchi zingine kwa kisingizio ohh Tanzania Sio kisiwa .Kuna Mambo Tanzania Ni kisiwa .
Semea nafsi yako, usiwasemee watanzania.Hilo chanjo Ni shetani pepo la kuzimu limekuja kuleta Vita Tanzania
Baada ya kuona Tanzania imekuwa Nchi ya amani na utulivu kwa miaka nenda Rudi wazungu wameona watumie chanjo Kama njia ya kuligawa taifa la Tanzania na kuchochea Vita na Mama Samia kaingia kichwa kichwa.Ila Mungu yupo hii agenda haitafanikiwa waambieni wazungu wenu kabisa...
Wote hao wameshapata chanjoWakuu soon tamko la katibu wa bunge kwenda kwa wabunge wote wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwa lazima wachanjwe la sivyo hawataruhusiwa kuingia bungeni mwezi ujao...
Lazima kuchanjwaChanjo ni lazima ama ni hiyari?,tuanzie hapo
Kama Ni hivyo tuheshimieni aliyechanja asijifanye kinara wa kulazimusha asiyechanja Kama vile ni mhalifu na atake asitake lazima achanje .Hapa ugomvi wa kupasua taifa ndipo unapianzia .Wewe unaamini chanjo ya Corona to hell with you amini huko huko.Semea nafsi yako, usiwasemee watanzania.
Huna mamlaka ya kunisemea...
Hii ni njia ya kuwalazimisha bila kutumia nguvuWakuu soon tamko la katibu wa bunge kwenda kwa wabunge wote wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwa lazima wachanjwe la sivyo hawataruhusiwa kuingia bungeni mwezi ujao...
Walisema wanafuata misimamo ya marehemuWakuu soon tamko la katibu wa bunge kwenda kwa wabunge wote wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwa lazima wachanjwe la sivyo hawataruhusiwa kuingia bungeni mwezi ujao...
Kwa ushauri huu Mama Samia kazi anayo Kapata washauri wabaya from day oneLazima kuchanjwa
USSR
Huyu mpiga debe wa wachina wa bandari ya Bagamoyo akae atulie kabisa huyu andunje.
Wapiga kura wa Ndugai wamechanjwa wote? Kwa hiyo hatatembelea jimboni?
Wabunge ni mali ya chama kwa hiyo ni lazima wafuate matakwa ya chamaWachague posho au misimamo, mtego mchungu kweli, ukiacha kuchanjwa na ukaacha posho bado chama kitakushughulikia kwa nini unaenda kinyume na maazimio ya chama.
Hapo ni lazima wote wachanje ili wawe na hivyo vyeti.
Jimbo la kawe linaenda kuwa waziWakuu soon tamko la katibu wa bunge kwenda kwa wabunge wote wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwa lazima wachanjwe la sivyo hawataruhusiwa kuingia bungeni mwezi ujao.
Wabunge watatakiwa kuwasilisha kadi za chanjo kwa walinzi ili kuruhusiwa kuingia bungeni.
Wabunge wanatakiwa kuwa mifano ya jamii na chama Cha mapinduzi na kumuunga mkono mh. Rais ambaye tayari amesha chanjwa.
MY TAKE. Msimamamo wa Gwajima na poleople utaonekana hasa wakigoma kuingia bungeni
USSR
That shall be the end of the good relationship between the speaker of the national assembly and the members of the parliament.Wakuu soon tamko la katibu wa bunge kwenda kwa wabunge wote wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwa lazima wachanjwe la sivyo hawataruhusiwa kuingia bungeni mwezi ujao.
Wabunge watatakiwa kuwasilisha kadi za chanjo kwa walinzi ili kuruhusiwa kuingia bungeni.
Wabunge wanatakiwa kuwa mifano ya jamii na chama Cha mapinduzi na kumuunga mkono mh. Rais ambaye tayari amesha chanjwa.
MY TAKE. Msimamamo wa Gwajima na poleople utaonekana hasa wakigoma kuingia bungeni
USSR