Ndugai mjinga mjinga anaungaunga maneno mara "Yaliyobakia huko sitawaambieni". That alone rubbishes anything he has to say.
Negotiations zinahitaji uzoefu wa kazini, ambao huwezi kuupata kwa A+ zako za chuoni. Kuna haja ya kupeleka vijana kuwa groom, wasipelekwe wazee tupu kisha wakistaafu vijana wakawa hawajui negotiations.
Mimi nimemuona baba yangu anaongoza negotiations kwa niaba ya Tanzania hapo London Court of International Arbitration, na hiyo ni kati yavkesi chache ambazo Tan,ania ikishinda. Ile si shughuli ya kumpa kijana aliyetoka chuoni aiongoze.
Kuna kipindi serikali ilikuwa inatafuta watu wenye certifications fulani zinazohitajika ili kufanya negitiations fulani, hata hao wazee wali9kuwa nazo walikuwa wachacgw sana, mmoja wao alikuwa Philip Marmo. Sasa hapo utampelekaje kijana aliyetoka chuoni na A+ yake nje ya kum groom ajiandae tu?