Ndugai: Mataifa ya wenzetu huchukua vijana wenye ufaulu class A+ wana negotiate mikataba sisi tunapeleka maprof wazee waliochoka!

Hoja hapa yaweza kuwa tumeandaaje watu wetu kuingia kwenye ushindani wa uelewa wa mambo haya maana ilivyo ni kwamba hatuna hiyari lazima maisha yaendelee
 
Kwamba hiyo A haitokani na uwezo binafsi!? Kama mtu alifight akapata A apewe heshma yake
 
Cha kwanza ni uwezo unaojengwa na shule suala la uzoefu nadhani ni muhimu sana elimu yetu ibadilike tuwajenga wale tunaona wana uwezo mkubwa tuwajengee mazingira waanze kupambana na haya madude mapema ili taifa linufaike.
 
Msukuma na kibajaji watakuvaa ohhoo.
 
Hii inaweza kuwa age discrimination.

Mtu apimwe kwa uwezo wake, si kwa age.
 
MAKALAI MAKALAI

View: https://youtu.be/ngIh0WOWv6A?si=C4-pbh1BdgCL11Yz
 
A lakini tumboni Kuna kitu? Hakuna mtu mwenye njaa mwenye akili timamu. Shida inaanzia hapo kwenye njaa hapo . Ndiposa nashauru siku za mbeleni nibora tuchague viongozi matajiri Sana ambao hawana njaa sana
Pia naskia njaa Ina mchango mkubwa sana kwenye kuharibu mikataba.
Alinisimulia mtu mmoja kwamba wazungu wakitaka limkataba la hovyo lipite wana hila nyingi sana
Picha linaanza mazungumzo yanafanyikia Dubai. Pdm sio za nchi hii mchana mnapigwa ofa kama zote alafu ndio mnaletewa limkataba yaani unakuwa umeleweshwa hata muda wa kuwa makini nalo huna.
 
Kwamba hiyo A haitokani na uwezo binafsi!? Kama mtu alifight akapata A apewe heshma yake

A yakufaulu mitihani hailingani na uhalisia wa mazingira yenyewe mtaani/duniani, watu wetu wanatoka shule lakini wengi hawana exposure kwenye uhalisia wa mambo matokeo yake wanaishia kutumia school and local theories kwenye mambo makubwa yanayohitaji akili iliyowahi kutatua matatizo makubwa na magumu.
 
Hii inaweza kuwa age discrimination.

Mtu apimwe kwa uwezo wake, si kwa age.
Ndugai alisema waende watu top class hata kama ni vijana, nimeambatanisha video hapo juu
 
Ndugai alisema waende watu top class hata kama ni vijana, nimeambatanisha video hapo juu
Ndugai mjinga mjinga anaungaunga maneno mara "Yaliyobakia huko sitawaambieni". That alone rubbishes anything he has to say.

Negotiations zinahitaji uzoefu wa kazini, ambao huwezi kuupata kwa A+ zako za chuoni. Kuna haja ya kupeleka vijana kuwa groom, wasipelekwe wazee tupu kisha wakistaafu vijana wakawa hawajui negotiations.

Mimi nimemuona baba yangu anaongoza negotiations kwa niaba ya Tanzania hapo London Court of International Arbitration, na hiyo ni kati ya kesi chache ambazo Tanzania ilishinda. Ile si shughuli ya kumpa kijana aliyetoka chuoni aiongoze.

Kuna kipindi serikali ilikuwa inatafuta watu wenye certifications fulani zinazohitajika ili kufanya negitiations fulani, hata hao wazee waliokuwa nazo walikuwa wachache sana, mmoja wao alikuwa Philip Marmo. Sasa hapo utampelekaje kijana aliyetoka chuoni na A+ yake nje ya kum groom ajiandae tu?
 
Reactions: Lax
M ona yeye alikuwa spika sasa wakati alikuwa zero brain
 


Yeye kama spika alifanya nini zaidi ya kudidimiza hao hao mawakili wakina Lissu.
 
Kwenye issue ya mikataba unahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kufikiria vizuri kila nukta na kila kpengele. Jambo ambalo tunadhani mtu aliyeweza kufanya hivyo kwa uwezo wake ni mtu sahihi
 
Reactions: Lax
Mkuu kiranga upo sahihi, easy summary team iwe na watu competent.
 
Kwenye issue ya mikataba unahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kufikiria vizuri kila nukta na kila kpengele. Jambo ambalo tunadhani mtu aliyeweza kufanya hivyo kwa uwezo wake ni mtu sahihi
Ukishaona watu wengi wanapigia kelele A. Basi ni muda muafaka wa kutafakari education system yetu
 
Ukishaona watu wengi wanapigia kelele A. Basi ni muda muafaka wa kutafakari education system yetu
Ni ukweli lakini sasa jambo la kujiuliza je hawa wanaofanya sasa wamesoma wapi!?
 
Reactions: Lax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…