Ndugai: Mzee Malecela alinitaka nijiuzulu u-Spika haraka; nikajiuzulu

Siwezi kufanya hivyo,endelea nasi tutakwambia kile tunaona hatari kwa ubongo wako,maana unaudumaza kijinga sana

Basi nakushauri ujiandie kupata kero ambayo ungeweza kuiepuka kwa single click, vinginevyo ungana nami kudai katiba mpya ili tusipate tena viongozi walio juu ya sheria. Niko hapa sinza madukani kwa ufafanuzi zaidi.
 
Tunaweka record sawa asitokee dhalimu wa aina ile, hutaki jinyonge.
Kuna kuweka sawa records na upumbavu. Jitaidi kuficha chuki za kipumbavu muda mwingine. We Unafikiri huu upumbavu unaofanya humu huko mtaani unaweza eleweka?Records sawa ungeanzia kwa Nyerere, Mwinyi, Mkapa,JK na umalizie Magufuli. Kupambana na Magufuli kila post ni chuki za kipumbavu na sio records sawa.Ukisema Magufuli aliua watu,ili uwe OBJECTIVE inatakiwa umtaje na JK pia coz kaua wa kutosha pia, kateka wa kutosha pia.Hakuna uchafu unaouongelea kwa Magufuli JK hajafanya. Magufuli Magufuli Magufuli vipi alikuachia ujauzito kiasi chuki iwe kubwa hivi?BADILIKA MKUU,HUU SIO UUNGWANA.
 
Vumilia tu au niweke kwenye ignore list, vinginevyo utakereka sana.
Huwekwi ignored list, utakua unapopolewa tu humu ukileta upumbavu. Nafikiri umeona watu wanavyokupopoa. Kuna mambo inatakiwa urudi nyuma na kutafakari. We umeahama kwenye SIASA na uko kwenye chuki.Kwa akili yako kila mtu akianza kuhubiri chuki kama zako tutafika?
 
Muongo ndugai ulijiuzulu kwa sababu wenzako bungeni walipoteza imani na wewe na walikuwa tayari kupiga kura ya kutokuwa na imani na wewe na ulikwenda ikulu kuomba radhi Rais Samia akakukatalia kwa hivyo ukawa huna pa kutokea.
 

Ukiniweka kwenye ignore list utakuwa umejiweka kwenye mazingira mazuri zaidi, kuna post nyingi unaweza kujikita kwenye hizo na ukasonga mbele, kuliko kujikita kwenye zangu ambazo kamwe hazitakufarahisha kwa chochote. Mbona unayemtetea aliendesha siasa za chuki na bado tulisonga, na hukuwahi kuonyesha kuwa hafanyi sawa?

Kwanza sichangii kwa kukufurahisha wewe au nyinyi, na hamlazimiki kusoma ninachoandika, walioweka kitufe cha ignore walijua kuna michango unaweza kutoipenda, hivyo hayo ndiyo matumizi yake. Je unakwama wapi?
 
Lipumbavu sana hilo bwege.
 
Mjinga mkubwa huyo Ndugai, kipindi anashabikia udhalimu chini ya jiwe alikuwa anaona poa, bila kujua anapalilia tabia chafu sana. Tena ilitakiwa wamng'oe meno kabisa.
Hakuna mjinga zaidi ya wewe unaeita mwenziyo mjinga. Kila mtu anatafsiri yake ya mambo. Huo unaouita udharimu ulilinda mali za watanzania kwa nguvu zao na kuweka rehani maisha yao na ya familia zao. But kwako ni udharimu na uko sahihi tu kama nilivyisema hapo juu.
 
Tunaweka record sawa asitokee dhalimu wa aina ile, hutaki jinyonge.
Kuna mawili-matatu kupitia comments zako:
1. Unatafuta attention kupitia JPM, usikike, watu wakusome wajue una chuki binafsi na marehemu.
2.. Umepatwa na shida ya akili, umekuwa too obsessed na marehemu yaani huwezi kuandika kitu usiuseme ubaya wake, obsession ya kijinga sana.
3. Alikutumbua, alitumbua watu wa karibu yako, alizima ndoto zako kupitia illegal business ulizokuwa unafanya, haupo sawa kisaikolojia hata kama ni attention unatafuta.
 
Niguse ninuke
 
Mi namwonaga kama akili yake haiko sawa, pengine kibarua kiliota nyasi sasa hana mshahara hivyo akapatwa na ugonjwa wa akili.
Hapo kwenye akili naungana nawewe, nadhani ni akili na ushamba pia vyote vinamsumbua huyo mtu.

Cheti feki kimemgharimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…