Ndugai: Mzee Malecela alinitaka nijiuzulu u-Spika haraka; nikajiuzulu

Kilichotokea kwa baadhi ya watu ni kuamini propaganda za wale mafisadi na wauza madawa, ogopa sana kitu inaitwa information. Walichokifanya wale jamaa ilikuwa ni character assassination kwa Dkt Magufuli, yaani they gave him a very bad names and they killed him. Kwa hiyo kwa wale wote walioamini kwenye hizo propaganda wana kila sababu ya kushangilia na kufurahia kifo chake. Just imagine eti wanasema fisadi ukiuliza aliiba nini hawajui, wanasema dikiteta ukiwauliza alifanya kitu gani cha hivyo utasikia alizuia rushwa, wanasema muuaji ukiwauliza alimuua nani utasikia gwanda wakati enzi za JK daudi mwangosi aliuawa mchana kweupe ulimboka aling’olewa kucha etc tena matendi ya wazi wazi kabisa. Kwa ufupi anayemkandia Dkt Magufuli ana akili pungufu, ndiyo maana sisi Chawa wa Mama tunahakikisha tuna balance story ili kuepuka kuleta mgawanyiko. dkt Samia na Dkt Magufuli ni kitu kimoja, 2025 ni rais Samia tu!
 
Nilikua nafuatilia kwa makini sana jinsi walamba asali walivyojitahidi kupiga Propaganda na kumweka Magufuli kundi la madikteta. Hawa watu ni wapuuz sana,Inahitaji shule kichwani kuona Propaganda za wazuri hawafi enzi za Magufuli
 

Hiki kilio ni wazi ww ama nyinyi ndio mna matatizo, kwanini usipuuze uendelee na mijadala mingine maana ipo mingi?! Nyie mliofaidika na ulevi wake wa madaraka ndio mnatushangaa baadhi yetu tulioona hayuko sahihi na hakustahili kuwa rais, haswa kwa katiba inayomfanya rais kuwa Mungu mtu kama yetu.

Nitafute attention kupitia Magu kwani alikuwa rais wa Marekani? Au kwakuwa nyie mlikuwa mnamuona Mungu basi kila mtu anamsujudia? Hili suala la vyeti ni bora hata mkae kimya, maana yeye alikuwa na PhD yenye utata mtupu, na hili liko wazi. Isitoshe kama ni vyeti fake bado hakuliendesha kwa haki kwani lilijaa double standard ya ajabu, maana aliiacha taasisi nyingi hasa za ulinzi na usalama bila kuwagusa, na huko vyeti fake viko kibao. Ifahamike hata kuhusu aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar alikuwa na tuhuma ya vyeti fake, na alikuwa anajibu kwa kejeli kuhusu suala hilo. Kwahiyo hakukuwa na suala la vyeti fake bali uonevu. Isitoshe mimi hata ningekuwa na cheti fake isingekuwa tatizo maana sio mtumwa wa ajira za serikali kama ww. Sauti inatosha au niongeze?
 
Wewe ni matokeo ya cheti feki huna lolote, ama ulitumbuliwa kwa namna yoyote ile, sio kwa matapishi na mipovu hii.
 
Wewe ni matokeo ya cheti feki huna lolote, ama ulitumbuliwa kwa namna yoyote ile, sio kwa matapishi na mipovu hii.
Nyie ndio mnaojiliza, na inaonekana we ni bendera fuata upepo maana kila mtu anayemtaja dhalimu in a negative way wote husema ni cheti fake, na nyie mnaomsifia wote mna vyeti halali vya Havard University ,πŸ˜‚πŸ˜‚. Nikupe ushauri wa bure, we kaa kwa kutulia maana ukifuatilia ninachopost utakwazika bure, maana wewe ni mtumwa wa ajira.
 
I wonder. Kama vile habari ya Malecela na Ndugai (vs Rais Samia/mikopo) inafananishwa na ile ya viongozi wa dini na Membe (vs Musiba/deni)? Zinafananaje?

Siku hizi hakuna vifo natural nchini bila conspiracy au ulozi kuhusika? πŸ€”
 
Andunje anamaanisha kuwa kama asingeambiwa na dingi ku step down hadi leo angekuwa anavaa lile joho? Huyu kweli ana faili mirembe. Kama nchi Bongo tulipitia vipindi vigumu mno,Rais kichaa,Spika wa Bunge kichaa.
 
Nilikua nafuatilia kwa makini sana jinsi walamba asali walivyojitahidi kupiga Propaganda na kumweka Magufuli kundi la madikteta. Hawa watu ni wapuuz sana,Inahitaji shule kichwani kuona Propaganda za wazuri hawafi enzi za Magufuli
Je, walifanikiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…