Ndugai: Toka Magufuli aage Dunia, umuhimu wa Dodoma unafifishwa kwa makusudi kabisa

Aisee Magufuli alikuwa Rais bwana,alikuwa na SAUTI YA KIMAMLAKA atakumbukwa sana.

Asante Mungu kwa ajili ya maisha ya Rais Magufuli.
 
Bado tunajiandaa kufuta jina lako kwenye solo lile solo mjinga mbwa wewe damu ya lisu inakuandama
 
Ndugai, tofauti ya hawa na wewe ni ipi kama si kutofautiana maeneo ya kufukia? Hawa wanafukia umuhimu wa kuhamia Dodoma. Wewe unafukia ufisadi wa miradi iiyokuwa imekataliwa kwamba ni ya kipumbavu na haina maslahi kwa taifa kwa kusingizia kwamba "... alishauriwa vibaya",. Unasahau kwamb maamuzi yote aliypitishwa na bunge na wewe ukiwa m/kiti huku ukiwadhikisha kila walioonekana kutokutembea katika maneno yako.

Leo unataka watu wakuamini kwa lilpi la ukweli? Unaweza kufanya juhudi gani za kuwafany awatu wakuamini kwamba wewe si mbinafsi na mbabaishaji usiyejali kama si kuelewa maslahi ya taifa ? Unataka kupata tonge gani la kisiasa kwenye kusema haya maneno leo? TLafadhali nisaidie, maana kusema kweli "sijawahi kuunganisha maneno yako na katiba, nia njema, upendo na kujali raia niakapata mstari ulionyoka. Ni shida.
 
Sheria ndio nini? Mbona wewe ufuati sheria, umekaa na wabunge wasio na chama bungeni unafuata sheria iliyotungwa na bunge gani?
 
Et Yangachawene we jamaa una vituko kwerkwer
Poleni Wagogo wenzangu
Anayefifisha hamasa ni sisi
Kabudi sikuku hii kubwa yupo wapi
YangaChawene wapi
Wagogo kwa ujumla ndiyo maana Mwendakwao mwishoni aliwatukana hadhatani na kumnyima dogo Mavunde unaibu waziri sisi bado sana?!!
 
Na wale wa Chato wanasemaje? Bei ya hotel na guest house kwa sasa zimepanda?πŸ˜„πŸ˜„

Nina kiwanja nauza Chato laki mbili tu mwenye anakitaka anirushie tigo pesa nimkabidhi kwa mwenyekiti wa mtaa.πŸ˜„πŸ˜„
Usikiuze mkuu utajuta badae Chato itakua sehemu ya hija takatfu kwa Dr Magufuli.
 
Unataka spika wa bunge awe pamoja na rais ili iweje?

Bunge ni mhimili mwingine, hatutaki spika wa kujipendekeza tunataka anayesimamia maslahi ya taifa kwa kuihoji na kuishauri serikali.

Elimu tatizo sana!
 
kwa nini kila kitu cha nchini Urusi ni Moscow, ufaransa ni Paris, Uingereza ni London kila nchi inakuwa na mji mmoja kama roho
 
Hiyo sheria ambayo anasema haiwezi badilika ni msahafu au biblia?
 
Ndugai nyumba zako za kupangisha ulizojenga Dodoma ukiaminishwa mji unakua kafugie kuku,watu wanarejea Dar
 
Hebu tutumie uthibitisho kwamba Ndugai ameyasema haya, sikupingi ila sijayaona sehemu nyingine yoyote zaidi ya humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…