abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Rais kama huyu avunje bunge? Gwajima tu kamtoa jasho! Wewe kweli zezeta! Bila Mabeyo angekuwa hapo? Subiri ninyamaze tu!
Hayo ni majambo ndani ya lichama lenu, malizaneni. Sie tuko busy na wanaojivunia kubambikia watz wenzao kesi za ugaidi.Samia lazima apingwe na yeyote mwenye mapenzi na nchi hii kwa kuruhusu genge la watu wahuni!
Jombaa meza boga la baridiii upunguze machungu na utulie hizi ni zama zingine, mambo ya hapa sijui kazi tupa kulee.Hata Dar ni pori tu Mji mchafu na una slam kila sehemu sema ni sehemu ya kipiga hela za wananchi hasa hako kabandari subiri hangaya waingize chaka na bagamoyo ndo mtajua hamjui!
Anaongelea bunge haramu lenye wabunge wa kuteuliwa na mwendazake kwa aslimia mia!"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."
"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"
"...hii siyo sawasawa kabisa Dodoma ni Mji na makao makuu ya Nchi ki sheria na hata hao wanaofanya kampeni za kufifisha safari hiyo wanapoteza muda wao bure tu."
"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."
Amesema Ndugai.
Kwani lini zimerudi Dar? Huruhisiwi kumpinga Rais ukiwa kwenye serikali husika,akae kimya au ajiudhuru Ili akaongee vizuri..la sivyo anatafuta shida.Samia ni nani asipingwe? Alichoongea spika ni kweli. Hio pia itasaidia kupunguza foleni dar ofis zote za serikali peleka dodoma.
Tumia akili fala wewemamluki wa Meko bado hawaamini kuwa meko kafa
Kwan waliamua pomoja kwenda dom?
Meco aliburuza wenzake alifikiri watu ni maroboti?
Kaanikeni mahindi sasa kwenye ule uwanja wa porini chatro
Sawa ni wa hovyo! Ila ujifunze kuheshimu wenzako!
Ndugai ndiye kambi rasmi ya upinzani Bungeni kwa sasa[emoji1782][emoji1782][emoji1782]
Na wewe umeanza kuisoma namba ya wanamtandao. Na bado tutaona mengi zaidi"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."
"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"
"...hii siyo sawasawa kabisa Dodoma ni Mji na makao makuu ya Nchi ki sheria na hata hao wanaofanya kampeni za kufifisha safari hiyo wanapoteza muda wao bure tu."
"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."
Amesema Ndugai.
Mwambie aje kuwa ombaomba dar maborntown hatutomtupa...We mgogo imekula kwako. Dodoma ndiyo byebye
Yatima hadeki ingawa kuna watu walitoa jasho kwenda ikulu kujisalimisha na leo wamesahau na kukejeliTaratibu yatima, Magufuli is dead and buried.
Mjizoeze kuishi maisha mapya ya uyatima, kuweni wapole kama wenzenu walivyokubali kuwa wapole wakati nchi inatawaliwa na washamba.
Imeisha hiyo.
Haya majitu yapo kwenye denial state, ni yakuyaonea huruma.Huwez kuheshimiwa kama hujiheshimu
Tayari miundo mbinu imeshawekwa dom kuwa mji wa kiserikali!!! Sasa kuijenga dom na now kurudi dom nikuchezea pesa za wananchi walipa kodi.... nchi kama China huwezi fanya huu upuuzi mzee wangu! Na ndo sababu wameinuka fasta kiuchumi” maana pesa yao haichezewi hata na viongozi wao!!! Huku raisi anaamua tu leo dar Kesho dom Hakuna nchi itakuwa Na maendeleo kwa ivi mzee... lazima tubane matumizi na miradi yenye Tija iishe.
Huwezi ukaacha miradi njiani umeshawekeza hela kibao alafu unaanzisha mingine huku nikufeli kw serikali mkuu tumalize miradi oliyopo, tuone faida yake maisha yawe nafuu alafu ndo tunaanza miradi mipya! Izi pesa wanachezea ni kodi zetu mzee ni vile hujui nalipa kodi kwa kiasi gani haujui maumivu yake ndo sababu unashadadia upumbavu, ifike mahali serikali iyonee huruma raia wake watekeleze wanacho kianzisha sio kila raisi anakuja na lake si ela zote zinapotelea hewani
Sasa si atumie hiyo sheria iliyotungwa na bungeNdugai yuko sawa kabisa yaani hawa watu wanaturudisha nyuma kuliko toka!