MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,840
- 8,202
Nakuunga juhudi zako lakini anza na uchafu barabarani kwanza ,tengeneza mitaro,na sehemu za kutupa taka.
Unakuta mji mzima asubuhi umesheheni makohozi tu hata kwa kukanyaga hakuna inakulazimu uruke makohozi kama madimbwi ya maji
makohozi mengine unakuta yamechanganyika na ugoro
Weka sheria anayetema mate kwenye barabara atozwe FAINI
Nawapa hongera Suma Jkt kwa usafi