GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
Umeweka code za kitoto mno. Yaani iko wazi Sana. Sikunyingine umiza kichwa zaidi.
Dah mkuu pamoja na kuongoza 'kamati ya roho mbaya' kumchinja, bado upo naye hatua kwa hatua kuhakikisha 'figisu' zake hazizai matunda.Hao Watu wawili tena 'Waandamizi' kabisa wanaotumwa Kwako mara kwa mara kuja 'Kukushawishi' kuwa umuachie Namba Tatu 'agombee' hilo Jimbo na kwamba Wewe 'Utateuliwa' ama kuwa Balozi au Mbunge waambie kuwa Kamati ya Roho Mbaya ya CCM Jimbo la Kigamboni 'itashawishi' Wana CCM wote wampigie 'Kura' Mgombea wa CHADEMA na CCM 'itaanguka' vibaya sana.
Hao Watu wawili wameshajulikana na nakuomba waambie kuwa kama Namba Tatu anataka huo Ubunge asubirie hadi 'Babaake' amteue Novemba.
Mtoa UZI nikushauri jambo !
Embu ya kaisari mpeni kaisari. Embu tii mamlaka za wakubwa
Taarifa za uhakika kutoka chanzo cha ndani kabisa zinasema Bashite alikuwa akimsumbua mama jana Jumanne wakiwa kwenye kikao Chamwino Ikulu.Mpuuzi Mmoja hivi ambaye sasa hivi 'anahangaika' kila mara kumpigia Simu Mama Namba Mbili 'Kikatiba' ili amsaidie kwa 'Babaake' apitishwe Yeye.
Ngoja uone kitakachotokea kilicho kinyume na matarajio yako ndipo utajithibitisha mwenyewe kuwa Huna akili huhitaji wa kukupima akili yako
Sasa mbona kama ume zira /kususia uchaguzi. Embu tii mamlaka sababu ndio wenye mamlaka ya juu kabisaTena kupitia Kwako hapa hapa nasema waziwazi na 'Mubashara' kuwa CCM 'ikimkata' Faustine Ndugulile basi ilisahau pia rasmi Jimbo la Kigamboni.
POPOMA naona unaendelea harakati zako za kupiga RAMLI.......Hao Watu wawili tena 'Waandamizi' kabisa wanaotumwa Kwako mara kwa mara kuja 'Kukushawishi' kuwa umuachie Namba Tatu 'agombee' hilo Jimbo na kwamba Wewe 'Utateuliwa' ama kuwa Balozi au Mbunge waambie kuwa Kamati ya Roho Mbaya ya CCM Jimbo la Kigamboni 'itashawishi' Wana CCM wote wampigie 'Kura' Mgombea wa CHADEMA na CCM 'itaanguka' vibaya sana.
Hao Watu wawili wameshajulikana na nakuomba waambie kuwa kama Namba Tatu anataka huo Ubunge asubirie hadi 'Babaake' amteue Novemba.
Dah mkuu pamoja na kuongoza 'kamati ya roho mbaya' kumchinja, bado upo naye hatua kwa hatua kuhakikisha 'figisu' zake hazizai matunda.
Ila me naomba arejeshwe ili uongoze kamati yako ya 'roho mbaya' kupeleka jimbo Chadema.
Taarifa za uhakika kutoka chanzo cha ndani kabisa zinasema Bashite alikuwa akimsumbua mama jana Jumanne wakiwa kwenye kikao Chamwino Ikulu.
Mpaka kikao kinaisha majira ya saa2 usiku bado Bashite alikuwa akipiga simu kumuuliza mama imekuwaje.
Hivi hizi harakati za chama ndo zifanyikie ikulu yetu takatifu?
GENTAMYCINE, nakushukuru! Watu kama Wewe wapo kwa ajili ya majibu kama haya kwa watu kama hawa!Hujawahi kuwa na hata 1% tu ya IQ pindi uwapo hapa Jamvini ( JamiiForums ) hivyo basi acha niendelee Kujadili na Werevu baki na Ujuha wako.
GENTAMYCINE, nakushukuru! Watu kama Wewe wapo kwa ajili ya majibu kama haya kwa watu kama hawa!
Mama anajiingiza kwenye upumbavu utakao mvua ushungi hadharani bure.Mpuuzi Mmoja hivi ambaye sasa hivi 'anahangaika' kila mara kumpigia Simu Mama Namba Mbili 'Kikatiba' ili amsaidie kwa 'Babaake' apitishwe Yeye.
CCM hatuangalii sura ya mtu tunapitia mafaili kwanza MUNGU mbariki magufuliJumamosi ni siku mbaya sana kwa wana CCM, hofu imewatanda katika nyoyo zao. Siku ambayo chama kinaweza kikaendelea kujikongoja au ndio siku chama kinavunjika zaidi ya 2015.
Meku huko alipo hapati usingizi, maana alivyojiachia na kulewa uongozi alijua Oktoba haitofika milele.
Labda atamteua kwa sababu anamuogopa kwani 7sept2017 alikuwepo Dodoma kwenye Nissan Nyeupe.Atamteua wapi wakati Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kuanzia October 2020 ni Tundu Antipas Lissu
Mama anajiingiza kwenye upumbavu utakao mvua ushungi hadharani bure.
Asione anapona mashambulizi mengi akadhani ni ujanja wake kumbe ni kuwa alionekana mstaarabu na mwenye kujali utu wa watu.
Sasa kujiambatanisha na MTU mshenzi kama yule ni kutafuta balaa
Habari za chinichini Mzee kapitisha nasikia...View attachment 1542238
Makonda atapitishwa na atakuwa mbunge na hamta fanya lolote!
Na ccm itaendelea kuwa imara kama miaka yote.
Hivi jon mrema alishinda kura za maoni Ubunge segerea tuanzie hapo kwanza!!Tutaona na ndipo mtatujua vyema wana CCM Kigamboni.
Hivi kati CCM na cdm kina nani wanajikongoja?Jumamosi ni siku mbaya sana kwa wana CCM, hofu imewatanda katika nyoyo zao. Siku ambayo chama kinaweza kikaendelea kujikongoja au ndio siku chama kinavunjika zaidi ya 2015.
Meku huko alipo hapati usingizi, maana alivyojiachia na kulewa uongozi alijua Oktoba haitofika milele.