Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko alipofia.
Je hamuoni kwamba Iran ni Jamhuri ya kiislamu lakini hawafuati uislamu unasemaje?
Je hamuoni kwamba Iran ni Jamhuri ya kiislamu lakini hawafuati uislamu unasemaje?