Ndugu katika imaan, inakuwaje nchi ya kiislamu maiti iwekwe wiki nzima bila kuzikwa?

Ndugu katika imaan, inakuwaje nchi ya kiislamu maiti iwekwe wiki nzima bila kuzikwa?

Iran ni Jamhuri ya kiislamu tangu mwaka 1979.

Au ulitaka wawe Sunni au Sufi ndio ujuwe ni waislamu?

Kwani hawa Mashia wamewakodea nini? Msifanye siri semeni wazi tulijuwe tatizo.
Usiwe unabisha kwa kitu ambacho huna elimu nacho unaonekana ni punguani.

Hakuna siri mpaka mimi kujua hilo, ujue limeandikwa wazi mpaka vitabuni mwao na wanachuoni wao wanalitangaza hilo. Ushia sio Uislamu.

Soma kijana uelimike na ufahamu mambo.
 
Back
Top Bottom