Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
- #101
Wewe ndio kafir sasa, kama hutambui madhehebu kwenye dini ya kiislamu.Ushia ndio dini yao, ushia na uislamu ni vitu viwili tofauti kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio kafir sasa, kama hutambui madhehebu kwenye dini ya kiislamu.Ushia ndio dini yao, ushia na uislamu ni vitu viwili tofauti kabisa
Kiufupi ushia sio uislamu kabisa. Ila wao wenyewe wanajiita waislamu. Hatuwezi kumhukumu shia Moja Moja kuwa si muislamu kwasababu anaweza huyo mtu asifuate itikadi za kishia na akajiita tu kuwa yeye shia. Kujiita tu hakukutoi katika uislamu bali ukifuata mionendo ya kishia na itakadi zake basi mtu atakuwa amejitoa kwenye usilamu. Mfano huwezi kusema Mo dewj si muislamu kisa shia coz wapo watu wengi wanajiita shia au dhehebu jengine potevu hali ya kuwa itikadi yao ni ya kisunni.Iran ni Jamhuri ya kiislamu tangu mwaka 1979.
Au ulitaka wawe Sunni au Sufi ndio ujuwe ni waislamu?
Kwani hawa Mashia wamewakodea nini? Msifanye siri semeni wazi tulijuwe tatizo.
Kwa sababu ulizozitaja basi hata mimi ningekuwa Muislamu ningekuwa Shia.Kiufupi ushia sio uislamu kabisa. Ila wao wenyewe wanajiita waislamu. Hatuwezi kumhukumu shia Moja Moja kuwa si muislamu kwasababu anaweza huyo mtu asifuate itikadi za kishia na akajiita tu kuwa yeye shia. Kujiita tu hakukutoi katika uislamu bali ukifuata mionendo ya kishia na itakadi zake basi mtu atakuwa amejitoa kwenye usilamu. Mfano huwezi kusema Mo dewj si muislamu kisa shia coz wapo watu wengi wanajiita shia au dhehebu jengine potevu hali ya kuwa itikadi yao ni ya kisunni.
Kwaiyo itikadi ya kishia ni ukafiri na mtu Moja Moja inakuwa Mungu ndio anaejua hukmu ya kila mtu kwasababu niliyoitoa hapo juu.
Ushia ni ukafiri kwasababu;
1. Wanasema kuwa maswahaba kama Abubakar, uthaman na Umar kuwa ni makafiri na kuwatusi waziwazi.
2. Kuwatusi wake na Mtume na kuwashifu
3. Wanasema Qur an imekosewa au baadhi ya Ayah zimekosewa au kuachwa
4. Wanapinga dalili zilizokuja kwenye Qur-an au Hadith.
5. Na upotevu wao upo katika mambo mengine mengi sana.
Hitimisho: Ushia ni ukafiri lakini si kila shia ni kafiri
hata hivyo iran sio waislam, ni washia.Dini ya kiislamu haisemi ni LAZIMA kuzika siku hiyo hiyo inasema ni vizuri usicheleweshe kuzika maiti kama hamna sababu za maana za kufanya hivyo.
Msiwe mnakurupuka kwenye conclusion huku hamjui chochote kuhusu Uislamu.
hata utupu wa nyuma wa wake zao wanaruhusiwa kama suna.Kiufupi ushia sio uislamu kabisa. Ila wao wenyewe wanajiita waislamu. Hatuwezi kumhukumu shia Moja Moja kuwa si muislamu kwasababu anaweza huyo mtu asifuate itikadi za kishia na akajiita tu kuwa yeye shia. Kujiita tu hakukutoi katika uislamu bali ukifuata mionendo ya kishia na itakadi zake basi mtu atakuwa amejitoa kwenye usilamu. Mfano huwezi kusema Mo dewj si muislamu kisa shia coz wapo watu wengi wanajiita shia au dhehebu jengine potevu hali ya kuwa itikadi yao ni ya kisunni.
Kwaiyo itikadi ya kishia ni ukafiri na mtu Moja Moja inakuwa Mungu ndio anaejua hukmu ya kila mtu kwasababu niliyoitoa hapo juu.
Ushia ni ukafiri kwasababu;
1. Wanasema kuwa maswahaba kama Abubakar, uthaman na Umar kuwa ni makafiri na kuwatusi waziwazi.
2. Kuwatusi wake na Mtume na kuwashifu
3. Wanasema Qur an imekosewa au baadhi ya Ayah zimekosewa au kuachwa
4. Wanapinga dalili zilizokuja kwenye Qur-an au Hadith.
5. Na upotevu wao upo katika mambo mengine mengi sana.
Hitimisho: Ushia ni ukafiri lakini si kila shia ni kafiri
Heshimu misingi ya Dini ya wenzio mzee.Hii dini ina unafiki mwingi sana hasa lengo ikiwa kuwakandamiza vilaza weusi na wanawake.
Kuna Uislamu na kuna waislamu. Wewe tosheka ya kuwa Uislamu unakataza jambo hilo.
Kuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko alipofia.
Je hamuoni kwamba Iran ni Jamhuri ya kiislamu lakini hawafuati uislamu unasemaje?
[emoji16][emoji16][emoji16]daa eti wanakimbizana kama mbio za mwengeHata hawa waislam wa bongo madongokuinama wasiwe na haraka ya kuzika waumini haina maana. Taratibu wasubiri mpaka ndugu za marehemu toka mbali wafike. Ndio maana huwa tunawaambia wale kitimoto kwa raha hakuna dhambi ni nyama kama nyama zingine zinazoliwa na binadamu. Utakuta jitu ni liislam halitaki kula kitimoto linaona ni haramu lakini ni lihuni, lilevi, linakula rushwa na lizinzi linafanya na kuona poa tu. Maiti za masikini ndio huwa wanazikimbiza kama mbio za mwenge kwenda makaburini kuzika. Wanakimbiza maiti kipuuzi sana
Subiri waje wafia haya mavitu akina brazaj
unadhani hizo nchi zina power gani kuisulubu israel? Israel itaendelea kujilinda daimaVipi Israeli kulia lia Spain, Norway na Ireland wanapofanya vitu vyao?
Aah poa🤣Heshimu misingi ya Dini ya wenzio mzee.
Ni Sahihi Dini Inasema Hivyo, Nimuuliza Mwana Zuoni Nguri UlamaaDini ya kiislamu haisemi ni LAZIMA kuzika siku hiyo hiyo inasema ni vizuri usicheleweshe kuzika maiti kama hamna sababu za maana za kufanya hivyo.
Msiwe mnakurupuka kwenye conclusion huku hamjui chochote kuhusu Uislamu.
Sasa ndugu mimi na wewe nani kichaa?Una acha kwenda kuhiji kwenye makaburi ya mababu zako huko sitimbi unaenda kuhiji makaburi ya waarabu,wewe si kichaa kabisa
Kwa kuwa mshia mfuata hizo itikadi basi usingekuwa muislamuKwa sababu ulizozitaja basi hata mimi ningekuwa Muislamu ningekuwa Shia.
Hawa Shia kumbe wanajitambuwa na batili wanasema batili, na Quran haikuandikwa na Mungu, imeandikwa na binadamu itakosaje makosa?
Shia wapo sahihi sana na wanajielewa.
🤣🤣🤣 Kwakweli speed ya kukimbiza masikini kaburi ni Kali Sana ukilinganisha na matajiri.Hata hawa waislam wa bongo madongokuinama wasiwe na haraka ya kuzika waumini haina maana. Taratibu wasubiri mpaka ndugu za marehemu toka mbali wafike. Ndio maana huwa tunawaambia wale kitimoto kwa raha hakuna dhambi ni nyama kama nyama zingine zinazoliwa na binadamu. Utakuta jitu ni liislam halitaki kula kitimoto linaona ni haramu lakini ni lihuni, lilevi, linakula rushwa na lizinzi linafanya na kuona poa tu. Maiti za masikini ndio huwa wanazikimbiza kama mbio za mwenge kwenda makaburini kuzika. Wanakimbiza maiti kipuuzi sana
Je upo dunia hiihii au nyingine? Dah! JamiiForums bhanaAnazikwa leo tena mji aliopata ajali wala harudishwi hata mji wa nyumbani alikozaliwa.