Ndugu katika imaan, inakuwaje nchi ya kiislamu maiti iwekwe wiki nzima bila kuzikwa?

Ndugu katika imaan, inakuwaje nchi ya kiislamu maiti iwekwe wiki nzima bila kuzikwa?

Kuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko alipofia.

Je hamuoni kwamba Iran ni Jamhuri ya kiislamu lakini hawafuati uislamu unasemaje?
Nafikiri kutokana na uduni wa Elimu ya kuifadhi maiti ya wakati huo! Waliweka hii sheria ili Maiti isiharibike kabla ya mazishi na pia haya maeneo yana hali ya joto sana sio kama Ulaya.... ni mapokea tu- Mungu anadeal na roho yako Mara tu Ukikata Moto! tukifa tu sawa na Kambale au kwenge na Roho zetu either ziende Peponi au Dampo kwenye Moto wa milele😁
 
Hii dini ina unafiki mwingi sana hasa lengo ikiwa kuwakandamiza vilaza weusi na wanawake.
Sio ina unafiki,wanafiki ni ngozi nyeusi ambao wanaivamia kuliko kupata elimu yake.Wakiambiwa wasome dini kiundani hawataki,pelekeni vijana wakasome Dini Uarabuni hawataki,kiufupi mtu wa Pwani hapendi elimu
 
Hii dini hata kuitetea haiwezekani, si umeona hata wewe umeshindwa?
 
Taratibu nyingi za kidini ziko kwa ajili ya waumini maskini na hohehae.Kwa viongozi wakisiasa na matajiri huo ujinga hauzingatiwi.
 
Kuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko alipofia.

Je hamuoni kwamba Iran ni Jamhuri ya kiislamu lakini hawafuati uislamu unasemaje?
Yan watu ni wachokozi😂
 
wee jamaa jaribu kufikiria kwa hekima kidogo!!! wee ulitaka azikwe chapchap kama mchoma mahindi wa IFAKARA???? wee jamaa nia aje??? angeumwa muda mrefu kweli wangejiandaa kwa lolote na angezikwa kama inavopasa,sasa m2 kafa ghafla bin vuu,,alaf ni rais wa nchi,kuna mamabi kibao ya kuwekwa sawa!!!!......wee umeishia form two B nini?????,,,ukiendekeza sana dini bila kuweka akili kidogo utakuwa mpumbavu!!!!!,,,,ndo manake ata NGURUWE tumekatzwa kula,lakini ukiwa huna namna yoyote ya kupata chakula na unaweza kukabiliwa na kifo "RUKSA",,,,wewe ndo wale wanaojilipua nini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!"sikutegemea una akili GB 1 namna ivi
 
da!
Hata hawa waislam wa bongo madongokuinama wasiwe na haraka ya kuzika waumini haina maana. Taratibu wasubiri mpaka ndugu za marehemu toka mbali wafike. Ndio maana huwa tunawaambia wale kitimoto kwa raha hakuna dhambi ni nyama kama nyama zingine zinazoliwa na binadamu. Utakuta jitu ni liislam halitaki kula kitimoto linaona ni haramu lakini ni lihuni, lilevi, linakula rushwa na lizinzi linafanya na kuona poa tu. Maiti za masikini ndio huwa wanazikimbiza kama mbio za mwenge kwenda makaburini kuzika. Wanakimbiza maiti kipuuzi sana
!
 
vilaza weusi wamekuwa kama nyumbu huwaambi kitu kuhusu kupumbazwa akili na dini hiyo. Siku si nyingi watashangaa huko kwa wenye dini yao wameanza kuipuuzia na kuachana nayo
Kama wazungu walivyopuuzia ukristo ndio una maana hiyo.?Sasa wanaume kwa wanaume wanaoana na wewe upo kwenye hilo genge?Dini zipo na kuna vitabu na sheria zake.Wewe fuata umagharibi lakini ukitongozwa ukubali usirushe ngumi.Si unapenda umagharibi wewe.
 
Ninachojuwa mimi wanaowahi kuzika hakuna sababu nyingine zaidi ya kufuata maelekezo ya uislamu.

Wapemba akifa hata saa 10 jioni wanaweza kuzika hata usiku.

Dr Omar Ally Juma alikuwa ni mpemba na makamu wa kwanza wa Rais alizikwa faster kiasi kwamba kama uko bize na mambo yako huwezi kujuwa makamu wa Rais amekufa na kuzikwa.
Kuna mambo mawili nayapenda kwa Waislamu ;
1. Ufungaji wa ndoa za Kiislamu hazina gharama kuuuuubwa, hawana mbwembwe nyingi.
2. Msiba wa Kiislamu hauna gharama kubwa, hakuna cha gharama kubwa ya kaburi, Suits, Siku kadhaa kukaa na marehemu huku ukiingia gharama za kuwahudumia waombolezaji.
Ningekuwa mimi ni kiongozi wa dhehebu au Kanisa la mahali ninge copy na kupast haya, kwa ajili ya vijana wasiogope kuoa haraka na kupunguza gharama zisizo na ulazima.
 
Back
Top Bottom