Ndugu katika imaan, inakuwaje nchi ya kiislamu maiti iwekwe wiki nzima bila kuzikwa?

Mwili wa hayati Alhaj Mzee mwinyi walikaa nao siku kadhaa
 
Kuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko alipofia.

Je hamuoni kwamba Iran ni Jamhuri ya kiislamu lakini hawafuati uislamu unasemaje?
Wale Ni waislam au Washiha 🤣🤣
 
Kuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko alipofia.

Je hamuoni kwamba Iran ni Jamhuri ya kiislamu lakini hawafuati uislamu unasemaje?
Wala haishangazi.
Mtume alifariki siku ya Jumatatu mchana tarehe 8 June 632 na akazikwa usiku Jumanne kuamkia Jumatano masaa zaidi ya 24 baada ya kufariki .

Hao wanaowahisha kuzika huwa wana sababu zao tu kama wale wanaochelewa kuzika.
 
Uislam ni kwa ajili ya wasiojitambua huku Africa na kwingineko, ila watu walioendelea wanafanyia biashara hiyo deen basi.
Mamako angetoa mimba yako tu, kuliko kuleta duniani juha kama wewe.
 
Hii dini ina unafiki mwingi sana hasa lengo ikiwa kuwakandamiza vilaza weusi na wanawake.
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 lkn hii dini inawasumbua akili sana....mnaipa kila jambo baya lkn wapi inaendelea kukua tu......hongera ww kwa dini nzuri inayowatambua weusi na wanawake😀😀😀😀
 
Kuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko alipofia.

Je hamuoni kwamba Iran ni Jamhuri ya kiislamu lakini hawafuati uislamu unasemaje?
Digital Islamic 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hizi imani zinatuvuruga sisi kina maamuma. Kuna watu wanazitumia kama fimbo za kucha sisi waja tusioelewa mambo
 
weka authority hapa, nawewe hatupashwi kukuamini, weka ushahidi wa hicho unachokisema
Yeye mleta mada kwanza alete ushahidi wa ULAZIMA kuwa muislam akifa azikwe haraka.
Hilo ni jambo lilipendekezwa na kuambiwa inafaa mtu azikwe haraka ila Sio lazima. Ingekuwa lazima maana yake mtu asipozikwa haraka basi mnapata dhambi! Ila hakuna dhambi kwa kumchelewesha mtu kumzika.
 
Kuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko alipofia.

Je hamuoni kwamba Iran ni Jamhuri ya kiislamu lakini hawafuati uislamu unasemajhapo

Kuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko alipofia.

Je hamuoni kwamba Iran ni Jamhuri ya kiislamu lakini hawafuati uislamu unasemaje?
Hapo iliachwa hewani Ili kujiongeza, maskini akifa anawahi kunuka shida, hakuna pilau nk. Tajili akifa hanuki mkuu.
 
Yeye mleta mada kwanza alete ushahidi wa ULAZIMA kuwa muislam akifa azikwe haraka.
Hilo ni jambo lilipendekezwa na kuambiwa inafaa mtu azikwe haraka ila Sio lazima. Ingekuwa lazima maana yake mtu asipozikwa haraka basi mnapata dhambi! Ila hakuna dhambi kwa kumchelewesha mtu kumzika.
Mimi siyo muislamu ila kuna mambo ambayo are not backed by science ni mila ambazo hazina maana yoyote kwa dunia ya leo.
Kuna watu wanasema kwa vile mtume alikuwa mfanyabiashara hakutaka kupoteza hela kwa mtu ambaye hatarudi kama wanavyofanya wakristo...
 
Mtu akifa na azikwe tu.
Kukaa na maiti kunaongeza sononeko.
Me sio muislam ila naona hapo walituzidi maarifa
 
Hapo hapo nipewe elimu kidogo, Kuna Ile mwanamke wa kiislam hapaswi kupeana mkono na mtu anayeweza kumuoa.

Lakini Mkuu wetu nimeona Mara nyingi anasalimiana na watu kadhaa Kwa kupeana mikono. Hiyo nayo imekaaje?
Si mwanamke tu hata mwanamme, uislam ni DINI si mtu. DINI imekamilika wala haibadiliki maandiko yake. Kufuata au kutokufuata maamrisho ya dini hakumaanishi kuwa hayo maamrisho hayapo.
 
Hata hawa waislam wa bongo madongokuinama wasiwe na haraka ya kuzika waumini haina maana. Taratibu wasubiri mpaka ndugu za marehemu toka mbali wafike. Ndio maana huwa tunawaambia wale kitimoto kwa raha hakuna dhambi ni nyama kama nyama zingine zinazoliwa na binadamu. Utakuta jitu ni liislam halitaki kula kitimoto linaona ni haramu lakini ni lihuni, lilevi, linakula rushwa na lizinzi linafanya na kuona poa tu. Maiti za masikini ndio huwa wanazikimbiza kama mbio za mwenge kwenda makaburini kuzika. Wanakimbiza maiti kipuuzi sana
Binafsi siamini kama kuto*#$@@+×=/<>^%$^*(:'mbana kama ni dhambi
 
Yeye mleta mada kwanza alete ushahidi wa ULAZIMA kuwa muislam akifa azikwe haraka.
Hilo ni jambo lilipendekezwa na kuambiwa inafaa mtu azikwe haraka ila Sio lazima. Ingekuwa lazima maana yake mtu asipozikwa haraka basi mnapata dhambi! Ila hakuna dhambi kwa kumchelewesha mtu kumzika.
Umeleta ushahidi wa hiki ulichoandika?
 
Back
Top Bottom