Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
- #41
Ninachojuwa mimi wanaowahi kuzika hakuna sababu nyingine zaidi ya kufuata maelekezo ya uislamu.Wala haishangazi.
Mtume alifariki siku ya Jumatatu mchana tarehe 8 June 632 na akazikwa usiku Jumanne kuamkia Jumatano masaa zaidi ya 24 baada ya kufariki .
Hao wanaowahisha kuzika huwa wana sababu zao tu kama wale wanaochelewa kuzika.
Wapemba akifa hata saa 10 jioni wanaweza kuzika hata usiku.
Dr Omar Ally Juma alikuwa ni mpemba na makamu wa kwanza wa Rais alizikwa faster kiasi kwamba kama uko bize na mambo yako huwezi kujuwa makamu wa Rais amekufa na kuzikwa.