Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
weka authority hapa, nawewe hatupashwi kukuamini, weka ushahidi wa hicho unachokisemaDini ya kiislamu haisemi ni LAZIMA kuzika siku hiyo hiyo inasema ni vizuri usicheleweshe kuzika maiti kama hamna sababu za maana za kufanya hivyo.
Msiwe mnakurupuka kwenye conclusion huku hamjui chochote kuhusu Uislamu.
Basi kuna watu huwa wanajiamini kufahamu dini kumbe hata hamjui.Dini ya kiislamu haisemi ni LAZIMA kuzika siku hiyo hiyo inasema ni vizuri usicheleweshe kuzika maiti kama hamna sababu za maana za kufanya hivyo.
Msiwe mnakurupuka kwenye conclusion huku hamjui chochote kuhusu Uislamu.
Anazikwa leo tena mji aliopata ajali wala harudishwi hata mji wa nyumbani alikozaliwa.Kuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko alipofia.
Je hamuoni kwamba Iran ni Jamhuri ya kiislamu lakini hawafuati uislamu unasemaje?
Anapatikana kwa uchaguzi.Naomba unifahamishe mkuu raisi wa Iran huwa anapatikana kidemocras au kwa mfumo upi
Wairan ni Washia, a very special form of IslamKuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko alipofia.
Je hamuoni kwamba Iran ni Jamhuri ya kiislamu lakini hawafuati uislamu unasemaje?
Uislam ni kwa ajili ya wasiojitambua huku Africa na kwingineko, ila watu walioendelea wanafanyia biashara hiyo deen basi.Kuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko alipofia.
Je hamuoni kwamba Iran ni Jamhuri ya kiislamu lakini hawafuati uislamu unasemaje?
saudia wanaingiza matrilioni ya fedha kwa mahujaji toka sehemu mbalimbali duniani.Uislam ni kwa ajili ya wasiojitambua huku Africa na kwingineko, ila watu walioendelea wanafanyia biashara hiyo deen basi.
Nani kakwambia? Kuna jamaa anawaita "Wapalestina / Waarabu wa Tandale" kwa jinsi mnavyoitetea vitu ambavyo hamna uhakika navyo. Mwili wa marehemu Raisi unapelekwa ktk miji karibu yote yenye umuhimu kidini na kimila za Ki-Irani kabla ya kuzikwa. Hivi sasa wapo TEHERAN kwa niaya kumuaga mpendwa wao, watu ni wengi kweli kweli. Hivyo usiwe unabisha bila kuwa na taarifa sahihi. HAPA anasema " Raisi's body is expected to be buried in his birthplace, Mashhad, on Thursday"Anazikwa leo tena mji aliopata ajali wala harudishwi hata mji wa nyumbani alikozaliwa.