K Kisai JF-Expert Member Joined Apr 6, 2018 Posts 28,481 Reaction score 28,749 May 24, 2024 #121 The Monk said: Ahsante. Unaweza kuelezea tofauti ya Uislamu na waislamu? Click to expand... Uislamu ni muongozo yaani njia inayokupeleka katika yale malengo ya kuumbwa kwako, Waislamu ni walio kubali kuifata hiyo njia.
The Monk said: Ahsante. Unaweza kuelezea tofauti ya Uislamu na waislamu? Click to expand... Uislamu ni muongozo yaani njia inayokupeleka katika yale malengo ya kuumbwa kwako, Waislamu ni walio kubali kuifata hiyo njia.
K Kisai JF-Expert Member Joined Apr 6, 2018 Posts 28,481 Reaction score 28,749 May 24, 2024 #122 Dr Matola PhD said: Iran ni Jamhuri ya kiislamu tangu mwaka 1979. Au ulitaka wawe Sunni au Sufi ndio ujuwe ni waislamu? Kwani hawa Mashia wamewakodea nini? Msifanye siri semeni wazi tulijuwe tatizo. Click to expand... Usiwe unabisha kwa kitu ambacho huna elimu nacho unaonekana ni punguani. Hakuna siri mpaka mimi kujua hilo, ujue limeandikwa wazi mpaka vitabuni mwao na wanachuoni wao wanalitangaza hilo. Ushia sio Uislamu. Soma kijana uelimike na ufahamu mambo.
Dr Matola PhD said: Iran ni Jamhuri ya kiislamu tangu mwaka 1979. Au ulitaka wawe Sunni au Sufi ndio ujuwe ni waislamu? Kwani hawa Mashia wamewakodea nini? Msifanye siri semeni wazi tulijuwe tatizo. Click to expand... Usiwe unabisha kwa kitu ambacho huna elimu nacho unaonekana ni punguani. Hakuna siri mpaka mimi kujua hilo, ujue limeandikwa wazi mpaka vitabuni mwao na wanachuoni wao wanalitangaza hilo. Ushia sio Uislamu. Soma kijana uelimike na ufahamu mambo.