Unatuma kwa bus mkoani? πππAliyotumia bob marley na tupac ndio natumia na mimi.. sivuti ya konde boy mimiπ
Hakuna tuta KAUNTABALANSI vizuri zaidi,π€£π€£π€£π€£ Mwehu we!!
Vichaa watakuwa wengi
Nafikisha popote ulipo, namna ya kusafirisha najua mimi πUnatuma kwa bus mkoani? πππ
miss uuuuu beibππππ€£π€£π€£ Sema hatuna baya
Siku ukihitaji blood transfusion kumpata blood donor ni mchakato ni kama vile kutafuta dhahabuMie ni 0- sijui.. aahh, nishasahu, toka miaka ya 2000+ huko
Tupo pamoja madamKundi 0 lipo zaidi kwa Waafrika, wataalam wanasema hayo, na hata kwenye huu uzi ushingae 0 kua wengi,
Btw, mimi ni B+.
Nitumie nipo Moro π€£π€£π€£Nafikisha popote ulipo, namna ya kusafirisha najua mimi π
Sahihi, ndio maana namwambia Lamomy tubaiolojiane, ili tupate kizazi chenye group O iwe msaada mkubwa huko mbeleni.Siku ukihitaji blood transfusion kumpata blood donor ni mchakato ni kama vile kutafuta dhahabu
Doctor tupe faida ya group hili
Nipe namba ya nyumba, saa 2 asubuhi unapokea mzigo wako.Nitumie nipo Moro π€£π€£π€£
Watu wa group O+na - ,tunampa yyt damu ila sie hatupokei Kwa yyt unless ana group km Hilo!Mie ni 0- sijui.. aahh, nishasahu, toka miaka ya 2000+ huko
KumbeeeNdiomana akili zetu mbovu hili group watu wake sijui tuna nini?? π€£π€£π€£
Miss u more πππmiss uuuuu beibπππ
Halafu matapeli π€£π€£π€£Kumbeee
π π ππ
Kifupi sisi tuko fiti kalikiti, makodinda makostamina.Watu wa group O+na - ,tunampa yyt damu ila sie hatupokei Kwa yyt unless ana group km Hilo!
Faida mojawapo hatuambukizwi pia magonjwa kirahisi
Naona hapa O tuko wengiKundi 0 lipo zaidi kwa Waafrika, wataalam wanasema hayo, na hata kwenye huu uzi ushingae 0 kua wengi,
Btw, mimi ni B+.
No 102 kihonda maghorofani, unashukia kwa chambo π€£π€£π€£Nipe namba ya nyumba, saa 2 asubuhi unapokea mzigo wako.