Ndugu Mtanzania unalijua kundi lako la damu?

Bila kujali kuna mtu unamfahamu au sio tengenezeni taratibu za kuchangia damu na utakuwa mwanachama.

Leo kwangu kesho kwako.
 
Mimi nilijua sisi wenye O hatupatagi hii makitu, manake mimi nilishawahi kupita mazingira hatari kabisa, lakini baadae kuja kupimwa nikakutwa niko fiti kalikiti.
 
Mimi ni kundi W- nimepima saivi... πŸ™†πŸΌβ€β™‚οΈ
 
Mimi nilijua sisi wenye O hatupatagi hii makitu, manake mimi nilishawahi kupita mazingira hatari kabisa, lakini baadae kuja kupimwa nikakutwa niko fiti kalikiti.
Kapime tena huenda doctor alikuwa kalewa.
 
We usitudanganye tujichanganye kukuamini, simba akilowa hawi paka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…