Autodidacts
JF-Expert Member
- Jun 9, 2021
- 1,165
- 1,804
Kama ni suala la usalama wao basi polisi walipaswa kutoa ulinzi nyumbani kwao sio kuwaweka ndani.Ndugu wa kijana Hamza aliyeuwa polisi watatu na yeye kuuawa pale daraja la Salenda wametiwa mbaroni na polisi usiku huu.
Ndugu wote wamekamatwa na nyumba yao imefungwa na iko chini ya ulinzi.
Chanzo: Ayo tv
Polisi wameshindwa kabisa kufuata sheria