mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
HaswaaKuna baadhi ya ke ukioa ni hasara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaswaaKuna baadhi ya ke ukioa ni hasara
NAKAZIAKuna baadhi ya ke ukioa ni hasara
Ninachojua, baba mwenye nyumba sio tu anapewa taarifa anaombwa ruhusa.Habari zenu watu wa mapenzi.
Iko hivi,kwanza naomba kudiclea interest mimi sio mchoyo wala sina chembe za uchoyo kama ambavyo wengi wenu mngeweza kudhani.
Naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi,so tarehe za mwisho wa mwezi kama hizi huwa natoroka kuja kuwasalimia siku kadhaa then narudi kituo changu cha kazi.
So ktk ujaji wangu home me huwa sitoi taarifa kwa yeyote huwa nawashtukiza tu ghafla ghafla..
Kama mara tano hivi kila nikija home nakuta ndugu za wife tofauti tofauti wapo home hapa,me sikua naona shida sana as me hawanibani kwa lolote,last month nilikuja nikamkuta mdogo wa wife na mwanae wako hapo home na toka nifike mpaka wanaondoka tulikaa nao karibu siku 8 sikutaka kuuliza wamekuja lini.
So jana tena nimekuja kimya kimya home nimemkuta ndugu mwingine wa kike wa wife wamefunga chuo yupo home hapa sijahoji lolote.
So leo nikiwa ndani na laptop yangu namalizia vimeo vyangu vya job mara ghafla nasikia geti linagongwa kaingia wifi wa wife yani mke wa kaka yake na mwanae na ninavyoona hawa sio wa kuondoka leo coz naona mpaka wana kibegi wamebeba.
Sitaki kumuuliza wife hizi mambo za ndugu zake kuja hapa as anajua me sio mtu wa kujali sana mambo hayo ila sasa kama baba wa familia nashangaa kwa nini sihusishwi kwenye ujaji wa hawa wageni as mnavyojua sahivi hali ya maisha imekua ngumu kidogo na watu tunapambania tu familia zetu ziende chooni, sasa huu ugeni mwingine ambao mimi nakua sina taarifa nao naona ka unaenda kinyume na bajeti zangu za mwezi.
Mimi binafsi ndugu zangu huwa wanatoa taarifa siku 3 nyuma kabla hawajaja kwangu hivyo tunajiandaa mapema.
So wakuu hii kitu imekaa kitaalamu kweli na nitumie mbinu gani kufikisha ujumbe kwa wife bila kumkwaza?
hivi wapare wana hii kitu? niliona kwa mke wa bro.hao shemeji zako siyo wapare kweli?
Faza house taharifa ya nini?utamfumaniaje mkeo?Wewe mwenyewe ukienda kwako hutoi taarifa umesema na unaona ni kawaida tu, usilaumu kaka, ni mtindo wa maisha uiiouanzisha mwenyewe tulia uuishi!
Kutoa taarifa kwenda kwako hakukuondolei ubaba wako wala haukushushii cheo chako home, ni ustaarabu tu.
Usilalamike kwa mkeo kutokukushirikisha mambo. Anajifunza kwako
Hii kitu ipo sana kwa watani zanguhivi wapare wana hii kitu? niliona kwa mke wa bro.
Unazingatia nyash wakati huko ndani haina kazi lazima kikulambeNAKAZIA
Tatizo linaanza pale kidume anapozingatia nyash kuliko tabia ya mwanamke
Mapema sana lazima uanze kuona ndoa chunguUnazingatia nyash wakati huko ndani haina kazi lazima kikulambe
Basi hakuna haja kulalamika yakijitokeza kama haya. Kwa kuwa interest ni kumfumania mke basi aishi tu kwa mtindo huu wa kutopeana taarifa wakati akisubiri kumfumania mkeweFaza house taharifa ya nini?utamfumaniaje mkeo?
Bila taarifa bajeti yangu itatoka wapi sasa....
KabisaWewe na mkeo huwa hamzungumzi..?? Maana katika maongezi yenu ya kawaida ya kila siku ndipo humo hizo taarifa zingekuwa zinakufikia..!!
Hamuwezi kuwa mnaongea kila siku kisha kuna wageni kwako na mkeo asiseme chochote kabisa, it doesn't sit well with me kiukweli..!!
Na mambo mengine anakushirikisha kama kawaida mkuu..? Ama mnaishi tu kama watu mnaoshea nyumba na siyo familia ya mke na mume..? MAWASILIANO yenu yapoje mkuu..?