Kiranja wa Kijiweni
JF-Expert Member
- Mar 9, 2023
- 593
- 1,072
Kila kitu kina nafasi yake na michongo yake, sehemu unapoona ww hapana fursa au dili, basi hapo hapo kuna watu huwatoi na wanapiga pesa zao hapooo.
Hizo kozi unazozichukulia poa, kuna watu zinawapa maisha, na kuna wengine wapya zinazidi kuwatengenezea maisha.
Halafu kila mtu akianza kusoma hizo kozi ulizozitaja kuwa zina deal na zenyewe zitashuka soko, it's all about supply and demand.
ila "E no easy" sabb hakunaga kozi ambayo ni guarantee kwamba ukienda tu tayari unapiga pesa kwa raha mustarehe.
Ni mwendo wa kugamble tu, calculated gamble.
Pia hizo unazoziona wewe kama ni rahisi kutusua mtaani kama ukizisoma, nakukumbusha kwamba wapo watu wamezisoma na wanashangaaga shangaa tu mtaani.
Nimesoma Computer Science na sijakaa mtaani, Kuna madogo yapo eGa, pindi mimi nipo third year menyewe yapo Second year.Ukisoma hizi course jitahidi ujue kuendesha Bodaboda kama backup.
1. Human resources management
2. Business Administration
3. Teaching (wapo kuanzia 2016 mtaani art lakini)
4. Psychology (hawajawai kuajiriwa tokea course ianzishwe)
5. Records Management (Kila kitu sasa hivi kwenye mifumo)
6. Marketing and Public Relations
7. Tourism
8. Law
9. Tax and insurance
10. Computer science (ukiwa vizuri ila ukitoka unga utakuwa mpiga window tu)
11. Regional development planning
12. Data science/engineering (hata HRs hawajui hii course inahusu nini kwasababu Bado wako mwaka 1900 jaupo Kwa nchi nyingine ndio future)
13. Wildlife management study at your own risk.
14. Sociology
15. Political science and public administration
16. Bachelor of Commerce
Course strong ambazo zina direction na future nzuri.
1. Cybersecurity
2. Medical physics (radiology)
3. Dental surgery
4. Physiotherapy
5. Kubwa la vyote ni VETA, akachukue umeme wa magari, kuoperate Yale ma bulldozer, lathe Operation n.k
Bodaboda nani akupe wakati utamletea ujuaji?Kilimo cha jembe la mkono ni mwokozi wa ulimwengu.Procurement and supply kama hufik phd jiandae kuvaa reflekta ya bodaboda
Mzeee,Ukisoma hizi course jitahidi ujue kuendesha Bodaboda kama backup.
1. Human resources management
2. Business Administration
3. Teaching (wapo kuanzia 2016 mtaani art lakini)
4. Psychology (hawajawai kuajiriwa tokea course ianzishwe)
5. Records Management (Kila kitu sasa hivi kwenye mifumo)
6. Marketing and Public Relations
7. Tourism
8. Law
9. Tax and insurance
10. Computer science (ukiwa vizuri ila ukitoka unga utakuwa mpiga window tu)
11. Regional development planning
12. Data science/engineering (hata HRs hawajui hii course inahusu nini kwasababu Bado wako mwaka 1900 jaupo Kwa nchi nyingine ndio future)
13. Wildlife management study at your own risk.
14. Sociology
15. Political science and public administration
16. Bachelor of Commerce
Course strong ambazo zina direction na future nzuri.
1. Cybersecurity
2. Medical physics (radiology)
3. Dental surgery
4. Physiotherapy
5. Kubwa la vyote ni VETA, akachukue umeme wa magari, kuoperate Yale ma bulldozer, lathe Operation n.k
Omba ruzuku ufuge nyuki mkuu.Na sisi tuliosoma chuo cha ufugaji wa nyuki tunawekwa kundi lipi?
Ni kweli lakini nimesema akiisoma vizuri na akaielewa, akijitahidi kupitia source mbalimbali kwasababu lecture wa kibongo jau sana, lakini asipokomaa na kusoma Kwa bidii na kujiongeza aaah lazima kuchoma movie imuhusu.No 10 uongo akikomaa na code, hesabu na akijiongeza kwenye Data science huyo sio mwenzio. Computer science ni bonge moja la course, kwani anaweza hata kuwa Cybersecurity,akafanya Database,Programmer au Data Scientist nk.
Well well.. kwa marefu na mapana, kama ilivyo MD Leo na wenyewe wanapanga foleni kufanyiwa interviewKila kitu kina nafasi yake na michongo yake, sehemu unapoona ww hapana fursa au dili, basi hapo hapo kuna watu huwatoi na wanapiga pesa zao hapooo.
Hizo kozi unazozichukulia poa, kuna watu zinawapa maisha, na kuna wengine wapya zinazidi kuwatengenezea maisha.
Halafu kila mtu akianza kusoma hizo kozi ulizozitaja kuwa zina deal na zenyewe zitashuka soko, it's all about supply and demand.
ila "E no easy" sabb hakunaga kozi ambayo ni guarantee kwamba ukienda tu tayari unapiga pesa kwa raha mustarehe.
Ni mwendo wa kugamble tu, calculated gamble.
Pia hizo unazoziona wewe kama ni rahisi kutusua mtaani kama ukizisoma, nakukumbusha kwamba wapo watu wamezisoma na wanashangaa shangaa tu mtaani, hawaelewi.
Kweli kaka lakini sio beekeeping au psychologyKila kitu kina nafasi yake na michongo yake, sehemu unapoona ww hapana fursa au dili, basi hapo hapo kuna watu huwatoi na wanapiga pesa zao hapooo.
Hizo kozi unazozichukulia poa, kuna watu zinawapa maisha, na kuna wengine wapya zinazidi kuwatengenezea maisha.
Halafu kila mtu akianza kusoma hizo kozi ulizozitaja kuwa zina deal na zenyewe zitashuka soko, it's all about supply and demand.
ila "E no easy" sabb hakunaga kozi ambayo ni guarantee kwamba ukienda tu tayari unapiga pesa kwa raha mustarehe.
Ni mwendo wa kugamble tu, calculated gamble.
Pia hizo unazoziona wewe kama ni rahisi kutusua mtaani kama ukizisoma, nakukumbusha kwamba wapo watu wamezisoma na wanashangaa shangaa tu mtaani, hawaelewi.
Hizo coz 16 hapo uwe Chawa ili uongezeee tu kwa ajili ya kuvimba mjiniUkisoma hizi course jitahidi ujue kuendesha Bodaboda kama backup.
1. Human resources management
2. Business Administration
3. Teaching (wapo kuanzia 2016 mtaani art lakini)
4. Psychology (hawajawai kuajiriwa tokea course ianzishwe)
5. Records Management (Kila kitu sasa hivi kwenye mifumo)
6. Marketing and Public Relations
7. Tourism
8. Law
9. Tax and insurance
10. Computer science (ukiwa vizuri ila ukitoka unga utakuwa mpiga window tu)
11. Regional development planning
12. Data science/engineering (hata HRs hawajui hii course inahusu nini kwasababu Bado wako mwaka 1900 jaupo Kwa nchi nyingine ndio future)
13. Wildlife management study at your own risk.
14. Sociology
15. Political science and public administration
16. Bachelor of Commerce
Course strong ambazo zina direction na future nzuri.
1. Cybersecurity
2. Medical physics (radiology)
3. Dental surgery
4. Physiotherapy
5. Kubwa la vyote ni VETA, akachukue umeme wa magari, kuoperate Yale ma bulldozer, lathe Operation n.k
Mh Pinda atawapa Ajira alimwambia Ufugaji nyuki unazalisha mabilioni kwa mwaka😆😆Na sisi tuliosoma chuo cha ufugaji wa nyuki tunawekwa kundi lipi?
Umeongea kitu Cha maana kabisa, kikubwa madogo wasikate tamaa wasome lakini wafocus upande wa pili zaidi.Ukijua ulienda shule kupata maarifa ..baaasi kazi imeisha.
Sivutii mtu hapa..ila toka 2014 sijaariwa na mtu yeyote tunapambana na mitaa.
Na wengi tunaokupana pesa za bia na za kimaisha ni wako huko huko waliko na kazi hizi mnaita official...
Matumizi,fedha na kufanikiwa kunahitaji nidhamu na kukubali kuwa kushindwa na kusimama kupo.
Kila mtu na ashinde mechi zake...watu wengi wanaopata hela kupitiq mtaa hawasemi ni wakimya mno mana wanajua kufungua macho ya wasomi wajinga huja na complications kibao.
Kweli, kilimo ndio Kila kituKama unataka pesa achana na hizo kazi.Kazi za pesa ni kilimo na ufugaji,shughuli za madini hasa ya vito kama dhahabu,na biashara kwa ujumla.kazi za kulipwa mshahara milioni mbili ni uhuni mtupu
Sifikirii kama unaelewa utofautaji wa pesa upoje na fursa.
Wewe upo nyuma sana kiufahamu kama kweli unaamini bodaboda pekee ndo substitution ya u-jobless
Ni njia ya masikhara lakini bodaboda kijana yoyote anaingia bila mtaji, apart from uwinga.Sifikirii kama unaelewa utofautaji wa pesa upoje na fursa.
Wewe upo nyuma sana kiufahamu kama kweli unaamini bodaboda pekee ndo substitution ya u-jobless
Kama unataka pesa achana na hizo kazi.Kazi za pesa ni kilimo na ufugaji,shughuli za madini hasa ya vito kama dhahabu,na biashara kwa ujumla.kazi za kulipwa mshahara milioni mbili ni uhuni mtupu
Hiyo 6 kuajiriwa na kujiajiri rahisi Sana Kama umechangamka kichwani na unajichanganya na watu mikoa ya kibiashara mfano Dar, Mwanza, Arusha, Dodoma, ...6. Marketing and Public Relations
7. Tourism