Duh, Pole sana kiongozi, huyo mtu bado huwa manaonana naye? Kweli tenda wema nenda zako.Kaka wanasema tenda wema nenda zako mwaka, fulani nikiwa chuo nilinona kuna mwanachuo mwenzetu ni kanda moja alinyimwa kufanya mtihani wa mwisho kwasababu ya michango moyo wa hofu ya mungu ikaniingia nikampa laki tano japo kusema ukweli kipindi kile nilimpa tu sikuwaza madhara yake.
Tukamaliza chuo yeye mwaka moja tu kapata ajira huwezi amini mpka sasa mimi nipo mtaani yeye yupo kwenye mfumo mwaka wa 12 huu hajawahi nirudishia hata mia. Wanasema tenda wema nenda zako
Sijawahi kuonana nae ila tupo group moja kila ukimpigia lazima akupange hata jana nimemtafta tu kwa salama kwa ujumbe mfupi. Alichonijibu ni kuwa yupo msibani😀😀😀😀Duh, Pole sana kiongozi, huyo mtu bado huwa manaonana naye? Kweli tenda wema nenda zako.
Kwanza pole kwa yaliyokusibu, umeomba ushauri na kweli waungwana hapa jukwaani wamekupa ushauri mwingi mzuri na usoweza kukuathiri wewe au huyo dada yako. Kama hauna ushahidi wowote wa maandishi kuonyesha mlivyopeana hizo pesa basi wazo la kumpeleka mahakama futa, Kama unao huo ushahidi kwanza anza na wazazi pamoja na ndugu wakaribu aitwe na akubali deni then fuatisha ushauri wa muungwana mmoja kashauri umtafutie watu wampe deal la kibiashara halali inayolingana au kuzidi kiasi unachomdai then deal likikubali wakati wa kulipana cash uibuke uchukue kilicho halali yako.akikufungulia madai utakuwa na ushahidi wa kutosha wa kukusapoti kwa ulichofanya.Mwaka jana ndugu yangu kabsa wa damu alikuja na kuomba nimpatie pesa ili a bust biashara zake, kwa vile alijuwa kuwa kuna kititi nimepokea kutoka Taasis fln ya umma.
Sikuweza kumnyima kwa vile mm pia nilikuwa nafikiriaa cha kufanyia hizo pesa either ninunue kiwanja dodoma am au nianzishe ujenzi.
Kwa hyo kwa kifupi sikuwa na haraka sna na hizo pesa, Sasa ni mwaka una karibia kukatiwa hadi Leo hajapata na amekata mawasiliano na mimi kabisa nimeenda home nikamshaki kwa wazazi, wazazi wakasema watampigia aje aseme lini atanipatia hzo pesa kwa vile hata mimi nimekwama, akitoa ahadi kuwa mwezi wa Tisa atanilipa ila hadi sasa hajafanya lolote!
Na fikiria kupeleka mahakamani ili nikapate haki yangu ambayo anataka kunidhulumu
Ndugu yangu ana kazi yake nzuri tu ana maisha mazuri tu ila nashangaa hati kunipa pesa zangu. Nampeleka mahakamani jumatatu
Naombeni ushauri wenu
Huwa na amini na kusadiki bila.shaka yoyote kuwa kama umetenda jambo kwa nia njema MUNGU anakurudishia mara dufu. Hata wewe na amini hujawahi kupungukiwa kwa lolote sababu ya 500K uliyosaidia kwa nia njema kabisa.Sijawahi kuonana nae ila tupo group moja kila ukimpigia lazima akupange hata jana nimemtafta tu kwa salama kwa ujumbe mfupi. Alichonijibu ni kuwa yupo msibani😀😀😀😀
Amina mkuu na hakika Mungu ameshanifanyia makuu tena zaidiHuwa na amini na kusadiki bila.shaka yoyote kuwa kama umetenda jambo kwa nia njema MUNGU anakurudishia mara dufu. Hata wewe na amini hujawahi kupungukiwa kwa lolote sababu ya 500K uliyosaidia kwa nia njema kabisa.
Wewe bwana Bosco Ntaganda nakushauri na nakushauri tena achana kabisa na huo mpango wa kumpeleka sijui wapi ,nakuambia haya kwa ushahidi wangu wakati nilimkopesha anko ,kwenye kulipa anko akazingua ikanibidi nitumie nguvu hivyo hivyo, matokeo yake ukoo mzima ukaja kunigeukia mimi ,chunga sana mkuuMwaka jana ndugu yangu kabsa wa damu alikuja na kuomba nimpatie pesa ili a bust biashara zake, kwa vile alijuwa kuwa kuna kititi nimepokea kutoka Taasis fln ya umma.
Sikuweza kumnyima kwa vile mm pia nilikuwa nafikiriaa cha kufanyia hizo pesa either ninunue kiwanja dodoma am au nianzishe ujenzi.
Kwa hyo kwa kifupi sikuwa na haraka sna na hizo pesa, Sasa ni mwaka una karibia kukatiwa hadi Leo hajapata na amekata mawasiliano na mimi kabisa nimeenda home nikamshaki kwa wazazi, wazazi wakasema watampigia aje aseme lini atanipatia hzo pesa kwa vile hata mimi nimekwama, akitoa ahadi kuwa mwezi wa Tisa atanilipa ila hadi sasa hajafanya lolote!
Na fikiria kupeleka mahakamani ili nikapate haki yangu ambayo anataka kunidhulumu
Ndugu yangu ana kazi yake nzuri tu ana maisha mazuri tu ila nashangaa hati kunipa pesa zangu. Nampeleka mahakamani jumatatu
Naombeni ushauri wenu
Pamoja na kusamehe lakini bado ulikuwa na haki ya kwenda kudai pikipiki yako kama mmiliki halali then hao aliokopeshana nao wakabaki wanapambana kivyaoJibu ni Rahisi tu,
Imeandikwa, mwenye HAKI wangu ataishia Kwa Imani. Na application yake ni kwenye Kila kitu.
Kuna kijana nilimwamini nikampa Bodaboda Kwa mkataba wa miezi 8, akalipa vizuri miezi miwili Kisha akaiweka bond pikipiki yangu na kuacha kuleta marejesho.
Uwezo wa kudeal naye kisheria nilikuwa nao, pia hata kutumia watu ningeweza kumdaka na kumfunga alipe Hadi sent ya mwisho Kwa kuwa mikataba na vithibitisho vyote ilikuwa navyo,
Wengi walinifuata Ili nimkamate kupata HAKI yangu, lakini Kila nilipotaka kuchukua hatua nilikakatazwa na Mungu wangu, akaniambia mwache, HUTAPUNGUKIWA na chochote unachohitaji.
Kinachotokea sasa, ninatumia ninachotaka na sijawahi kuwa mhitaji financially.
Jifunze kuwa, waliookoka kamwe hawaendi mahakamani kudai HAKI, labda upate maelekezo kufanya hivyo Kwa sababu maalum.
Ubarikiwe 🙏
Ki roho safi kabisa kama ulivyokuwa umedhamilia mwanzoni kulijenga upya kaburi, jikusanye tena na MUNGU atakuwezesha ukipata pesa nenda mwenyewe simamia hiyo kazi mpaka inaisha na bibi wala ma mdogo ishi nao vizuri tu kama vile hamna kilichotokea. Baadae watakuwa wanajishauri sana kabla ya kukulilia shida zao.Ushauri mzuri Kaka ila na Mimi nishauri nilituma nyumbani hela ya kaburi la mzazi lijengwe upya ,kichekesho wameikula ni mama mdogo na Bibi yangu wananipa ahadi watalijenga tu .
Sasa nimepanga nizile nisiwatafute hata wakifa nisiwapigie nishauri ndugu Hawa watu ni ndugu zangu niwafenyeje Sasa ?
Sawa Kaka wacha nifanye hivyoKi roho safi kabisa kama ulivyokuwa umedhamilia mwanzoni kulijenga upya kaburi, jikusanye tena na MUNGU atakuwezesha ukipata pesa nenda mwenyewe simamia hiyo kazi mpaka inaisha na bibi wala ma mdogo ishi nao vizuri tu kama vile hamna kilichotokea. Baadae watakuwa wanajishauri sana kabla ya kukulilia shida zao.
Usije kuangukia pua mahakamani,kama unaushahidi usiobna shaka sawa,ila anaweza kukulipa kama ni muungwana kama wa ovyo tegemea Mambo 2Kwanza atasema atakulipa kidogo kidogo 2Hana!
Ni Kweli Nina HAKI lakini kudai nilikatazwa, Mungu ananilipa Kwa njia ya ajabu sana.Pamoja na kusamehe lakini bado ulikuwa na haki ya kwenda kudai pikipiki yako kama mmiliki halali then hao aliokopeshana nao wakabaki wanapambana kivyao
Mkuu kwanza nilianza biashara ya cement nikampa m14 yaani semi lote mifuko 640 kama sikosei.Nimepiga kelele mpka watu ofisini wamenigeukia .
Bro m .8 hakika nakuambia na undugu ungeisha ,hapa wamekula laki sita ya kaburi nawaza kulipa kisasi na undugu nifutilie mbali Sasa milioni nane nahisi ningeenda kubomoa na nyumba yake
Dah aisee Kuna watu wajinga Sana tunatafuta ndugu wenye moyo Kama nyie tunawakosa ila wanaobahatika ndiyo Hawa wazurumati .Mkuu kwanza nilianza biashara ya cement nikampa m14 yaani semi lote mifuko 640 kama sikosei.
Muda Tyr yeye nishampa yake. Baada ya kuona hata Hela ya faida yangu kwenye cement inawekwa Kwa binde nilisubiria anataka kuagiza semu nyingine ilete nikamwambia Hela yote aingize kwangu niwaipe Mimi alipoingiza tu nikamwambia nimeamua kuijengea na cement iliyo nakuja kuchukua kesho na tractor na nikafanya hivyo.
Leo ameniambia biashara yake imekubali anataka kuanza kulipa Tena nimemwambia Haina shida ataweka kwenye account Ile Ile.
Yataka moyo mkuu ila Kuna muda ukipigwa na life hata kama ni siku4 tu unanikumbuka hiyo Hela!
Mimi natabia ya kuwasikiliza wazazi. Nikweli nilipokea ushauri Kwa jamaa zangu tunao fanya nao kazi walinambia nisikubali wakitoa na mifano Hela inavyopatikana yaani tunakesha underground km2 upo chini ya ardhi halafu yeye kalala tu then akudhurum kilahisi tu asee mifano hii ilikuwa inatia hasira mnoo.Dah aisee Kuna watu wajinga Sana tunatafuta ndugu wenye moyo Kama nyie tunawakosa ila wanaobahatika ndiyo Hawa wazurumati .
Pole Sana bro ila hongera kwa moyo mkuu uliyo nao ,kwangu Mimi nahisi ningempiga hata risasi au kumloga kabisa
Pole Kaka ,nimesikitika SanaMimi natabia ya kuwasikiliza wazazi. Nikweli nilipokea ushauri Kwa jamaa zangu tunao fanya nao kazi walinambia nisikubali wakitoa na mifano Hela inavyopatikana yaani tunakesha underground km2 upo chini ya ardhi halafu yeye kalala tu then akudhurum kilahisi tu asee mifano hii ilikuwa inatia hasira mnoo.
Ukiangalia kweli kabisa kazi ni very risk na umechukua mkopo angalau tujipange uachane nayo then yeye anaichukua kilahisi tu.
Wazazi walipo niambia vile nikawatii na kuzoea