Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiooo, kama wahusika wenyewe wanasema hivyo mimi napingaje sasaYaani wewe! [emoji23][emoji23] Umesimamia msimamo.
Ndo maana nataka nimpeleke sober house angalau apumzike, hali yake inazidi kuwa mbayaHakuna dawa ya maalumu ya kuacha ulevi wa pombe.
Njia kuu ya kuacha pombe ni kuacha pombe kupitia tafakuri halisi ya hasara na madhara kwa mhusika mwenyewe.
Bahati mbaya ni kuwa mlevi hawezi kulazimishwa kuacha pombe, bali aamue yeye kwa hiari yake.
Kunywa kistaarabu😎
Sawa mkuuNashauri fuata ushauri wa Dream Queen, mtafutie kwanza therapist aongee nae. Ajue shida nini. Hafu ndio stage ifuate ya sober house.
Ila pia nashauri kama upo nae karibu, anza kumshirikisha vikazi vidogo vidogo, au mpe majukumu kadhaa ya kusimamia awe busy kidogo na unakua unamcheki kila muda flani ili awe busy. Sina uhakika ila nahisi inaweza sahidia kidogo.
Asante bestWanasema pia maziwa ya nguruwe ni dawa,unachanganya kwenye pombe asione
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Tafuta nguruwe ananyonyesha, kamua maziwa walau vijiko 2 vya chai!!! Mnunulie tungi alipendaro, anyweeeee mpaka alegee then mchanganyie yale maziwa kwenye kinywaji komojawapo akikisha anakunywa mpaka inaisha!! Baada ya hapo atatapika mpaka mashetani yooote na haji kugusa pombe tena milele na milele!!Nimewahi kukaa naye mara nyingi namuuliza anasema hata yeye hapendi kunywa lakini hawezi kuacha kunywa
Sawa mkuu, inaumiza mno lakini ntampambania naamini Mungu atamsaidiaHaya mambo yasikie tu kwa watu, usiombe yakukute. Tuliambiwa akiacha atakua mkombozi, sahivi anapiga pambio tu. Mungu ni mwema ameokoka kupitia hizi za 'bakabaka' mwaka mzima yupo anapiga gwaride tu.
Pole sana mkuu King Jody kaeni nae karibu msimuache. Muujiza upo, cha msingi endeleni kuwa nae karibu na hizo tiba wanazoshauri wanajukwaa usiache kujaribu mana mambo ni mengi mnoo ulimwengu huu....
Yap niko upande wako , vita iendelee .Sifuti na lolote hunifanyi
Ndo maana nataka nimpeleke sober house angalau apumzike, hali yake inazidi kuwa mbaya
Uchawi unafikiri unaanziaga wapi kaka ?Ingia kwenye banda la kuku tafuta haja imekauka kabisa ukifikicha hivi inakuwa ungaunga mtilie kwenye kinywaji chake bila yeye kujua
Sawa mkuu ntafanya hivyoTafuta nguruwe ananyonyesha, kamua maziwa walau vijiko 2 vya chai!!! Mnunulie tungi alipendaro, anyweeeee mpaka alegee then mchanganyie yale maziwa kwenye kinywaji komojawapo akikisha anakunywa mpaka inaisha!! Baada ya hapo atatapika mpaka mashetani yooote na haji kugusa pombe tena milele na milele!!
NB: hili swala inabidi iwe siri yako na usije kumwambia mtu, kamwe usimwambie mtu
Ntamhudumia kwa mahitaji yote kwa sababu hali yake inaniumiza sanaMpeleke sober house. Huko wapo therapists pia wanajua namna ya kumsaidia.
Lakini husiende kumtupa huko, hakikisha anapata mahitaji yake yote ya msingi Kama ambavyo anatakiwa.
Miezi 9 ndio standard reset time for alcoholics, vigezo na masharti vikizingatiwa.