Buma kazimia
Member
- Sep 14, 2023
- 28
- 21
Sikumoja akiwa chakali, mpeleke hospital alafu kula mchongo namadoctor wamdanganye.kichwa yake ikipoa pombe kidogo, huwa anahadithia ukweli mambo yalivyo mule ndani, utaskia anasema namnukuu
"uncle acha thu, jamaa wa mulye ndani hawanya hurthuma wanaweztha kukuua kabithaa ukiletha ubisthi, wanapiga matheke hayo ni balaa"
mwisho wa kunukuu.
anayasema hayo huku akiwa amezishika na kuzipapasapapasa taya zake zilizopishana"