Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa sana. Hata hizo pombe nyingine nazo inabidi afanye hivyo hivyo. Kama ni gongo mwambieni akae nyumbani mnamsaidia kuagiza na ku-control unywaji. Kazi ipo kumshawishi kwani walevi wa aina hiyo huanza asubuhi na wanataka muda wote wawe wako masanga.Ushauri mzuri ila huyu anakunywa pombe za kienyeji, mf Mbege, gongo, Banana,, viroba yani yoyote atakayokutana nayo
Sawa mkuuNimekuelewa sana. Hata hizo pombe nyingine nazo inabidi afanye hivyo hivyo. Kama ni gongo mwambieni akae nyumbani mnamsaidia kuagiza na ku-control unywaji. Kazi ipo kumshawishi kwani walevi wa aina hiyo huanza asubuhi na wanataka muda wote wawe wako masanga.
Nakunywa. Mimi ni mnywaji mstaarabu. Ila nimewahi kukutana na hata kukaa na walevi wengi. Unajua pombe inaitwa kabungusi? Muratina? Na nyingine nyingi. Basi nilikuwa naenda kwenye vilabu vya pombe za kienyeji na walevi kwenda kuangalia maisha ya dunia ya huko. Huko hata kama una stress zinaisha. Hiyo pombe ya kabungusi ilikuwa (ni miaka ya nyuma kidogo) wanywaji wanakunywa halafu inafika wakati mlevi mmoja anasisima anasema ''kabungusi hoyee!'' na walevi wengine wote ni lazima waitikie ''hoyee''.Ushawahi kunywa pombe au umeandika kwa kutumia notes za waadhili wasabato waliokuwa wanawakalilisha vyuoni?
🙏🙏🙏Sober House inasaidia kama na yeye ameridhia kubadilika, kama umemlazimisha hawezi kubadilika.... wenyewe wanasema ni rahisi kumbadili mtumiaji wa cocaine au heroine lakini sio wa Pombe au Sigara, sababu Pombe sio illegal na inapatikana kila sehemu muda wowote kwa bei nafuu....
Nadhani kabla ya Sober House mpeleke kwanza akaonane na therapist, lazima kuna jambo linamtatiza hadi kudondokea kwenye ulevi, afix kwanza jambo hilo.
Ok amani ndani ya nyumba haipo.Mume wake ni wale wale ni mnywaji japo yeye si km mkewe, ni jobless yani kwa kifupi ndoa yao ni complicated, hata watoto wao tunawalea sisi ndugu zake
Mtaftieni mganga kwanza kabla ya yote. Mcheki tatizo lipo wap kwanza; ulevi mwingine shida ni ya kiroho zaidiNi Mwanamke umri 44 yrs, ana familia japo ni complicated, pombe anakunywa yoyote ambayo ipo karibu yake.
Sawa kaka ntamcheki sister MisanaOk amani ndani ya nyumba haipo.
Kama akiweza a keep distance kidogo japo akakae kwa ndugu mbali apate mda wa kutafakari life hata ndani ya miezi 3 au sita itamsaidia.
Wakat mwingine mazingira pia Yana ponya.
Na shuhuda na watu ikiwemo ndugu walikuwa mjini Kila siku mara pressure mara sijui kisukari sijui takataka gani walihamia mikoani mingine Sasa hivi ni wazima wa afya kabisa takataka zote zilipotea hata wao wanashangaa.
Mcheki sister misana 0715744464 wa sober house kigamboni atakusaidia ni eneo lake Hilo.
Ila huyo anatibika kwa kukeep distance kukeep distance Sio kutengana.
Meditation pia ni tiba ya magonjwa mengi sana kwa mtu aliyedhamiria kutaka kuacha Tabia Fulani.
Poleni sana.Ni Mwanamke umri 44 yrs, ana familia japo ni complicated, pombe anakunywa yoyote ambayo ipo karibu yake.
Welcome PM I'll connect you.Do it please, be blessed
Lakin kumbuka umeambiwa zaid na watu watatu humu ndani kwamba kama ameridhia mwenyewe utapona ila kama ni kwa lazima hyo sahau.Asante kwa ushauri