Ndugu yangu amekuwa mlevi wa kupindukia, nataka nimpeleke sober house

Unamaanisha kinyesi cha binadamu?
Marahabaaaaaaaaaa ndiomana nimekwambia asijue mwingine zaidi yako! Matokeo yake yapo hiv ,, atatapika kupita kias namaanisha atatapika kweli miksa kulia yaan Kila akisikia harufu lazima ateme mzigo kama una huruma usifanye!
 
Ni Mwanamke umri 44 yrs, ana familia japo ni complicated, pombe anakunywa yoyote ambayo ipo karibu yake.
Shemeji yenu yupoje ni mwanamke wa kibiblia au ni cycle sin family maana Sio Kila mwanaume ana filter ya kublock negativity toka kwa toxins women thus wengine ushinda bar wanakimbia toxins toka kwa wanawake marappers.
 
Marahabaaaaaaaaaa ndiomana nimekwambia asijue mwingine zaidi yako! Matokeo yake yapo hiv ,, atatapika kupita kias namaanisha atatapika kweli miksa kulia yaan Kila akisikia harufu lazima ateme mzigo kama una huruma usifan

Marahabaaaaaaaaaa ndiomana nimekwambia asijue mwingine zaidi yako! Matokeo yake yapo hiv ,, atatapika kupita kias namaanisha atatapika kweli miksa kulia yaan Kila akisikia harufu lazima ateme mzigo kama una huruma usifa

Kama na yeye mwenyewe kadhamiria kuacha,nicheki private ndugu yako ata pona,ulevi ni ugonjwa
Sawa mkuu
 
Natumai wote hamjambo humu.

Nina ndugu yangu amekuwa mlevi wa kupindukia, hapo awali alikuwa ni mtu smart na mpambanaji wa maisha, sijui kitu gani kimemkuta, anakunywa pombe muda wote hata kazi ameacha kwa sababu ya pombe.

Watu wengi wamenishauri nimpeleke sober house {Kwa kiswahili sijui inaitwaje}

Najipanga nimpeleke japo ni gharama lakini nitajitahidi kwa sababu hali yake inanihuzunisha sana, wahusika wameniambia anaweza kukaa huko wa muda wa miezi mitatu hadi minne, na atakuwa sawa kabisa.

Wenye uzoefu na sober house, unaweza kuwa ulimpeleka ndugu yako au kama una uelewa wowote je zinasaidia kubadilisha maisha ya waraibu wa mihadarati na kurudi kwenye hali zao za kawaida?

Nb.Maoni yenu ni muhimu,

Natanguliza shukrani za dhati.

Asanteni.🙏🙏
Kuacha pombe kunawezekana iwapo tu mwathirika ataamua mwenyewe kuacha. Nimeona walevi wengi sana wanaacha pombe kwa mashinikizo lakini baada ya muda hurudia. Mkiweza kumshawishi yeye mwenyewe aamue kuacha tumieni ujanja huu: Huu ni mfano: Kama kila siku nakunywa chupa kumi za bia basi aanze kupunguza kidogo kidogo kila baada ya interval wiki au wiki mbili, au hata tatu. Wiki tatu za kwanza anapunguza chupa moja, baada ya wiki tatu, anapunguza moja, anaendelea hivyo hivyo kupunguza chapa moja moja au hata nusu chupa kila baada ya wiki tatu mpaka afikie kwenye sifuri. Cha maana ni yeye kuamua na kuweka nadhari kutokushawishika kuongeza.
 
Shemeji yenu yupoje ni mwanamke wa kibiblia au ni cycle sin family maana Sio Kila mwanaume ana filter ya kublock negativity toka kwa toxins women thus wengine ushinda bar wanakimbia toxins toka kwa wanawake marappers.
Umeambiwa mlevi ni mwanamke mwenye 44yrs
 
Kuacha pombe kunawezekana iwapo tu mwathirika ataamua mwenyewe kuacha. Nimeona walevi wengi sana wanaacha pombe kwa mashinikizo lakini baada ya muda hurudia. Mkiweza kumshawishi yeye mwenyewe aamue kuacha tumieni ujanja huu: Huu ni mfano: Kama kila siku nakunywa chupa kumi za bia basi aanze kupunguza kidogo kidogo kila baada ya interval wiki au wiki mbili, au hata tatu. Wiki tatu za kwanza anapunguza chupa moja, baada ya wiki tatu, anapunguza moja, anaendelea hivyo hivyo kupunguza chapa moja moja au hata nusu chupa kila baada ya wiki tatu mpaka afikie kwenye sifuri. Cha maana ni yeye kuamua na kuweka nadhari kutokushawishika kuongeza.
Ushauri mzuri ila huyu anakunywa pombe za kienyeji, mf Mbege, gongo, Banana,, viroba yani yoyote atakayokutana nayo
 
Kuacha pombe kunawezekana iwapo tu mwathirika ataamua mwenyewe kuacha. Nimeona walevi wengi sana wanaacha pombe kwa mashinikizo lakini baada ya muda hurudia. Mkiweza kumshawishi yeye mwenyewe aamue kuacha tumieni ujanja huu: Huu ni mfano: Kama kila siku nakunywa chupa kumi za bia basi aanze kupunguza kidogo kidogo kila baada ya interval wiki au wiki mbili, au hata tatu. Wiki tatu za kwanza anapunguza chupa moja, baada ya wiki tatu, anapunguza moja, anaendelea hivyo hivyo kupunguza chapa moja moja au hata nusu chupa kila baada ya wiki tatu mpaka afikie kwenye sifuri. Cha maana ni yeye kuamua na kuweka nadhari kutokushawishika kuongeza.
Ushawahi kunywa pombe au umeandika kwa kutumia notes za waadhili wasabato waliokuwa wanawakalilisha vyuoni?
 
Ameolewa,kama kaolewa mme wake yupoje ni mwanaume wa kibiblia au ni primitives,wapo wanaume primitives wakimpa mwanamke Hela wanataka change au wanahesabu hadi nyama kwenye chungu.
Mume wake ni wale wale ni mnywaji japo yeye si km mkewe, ni jobless yani kwa kifupi ndoa yao ni complicated, hata watoto wao tunawalea sisi ndugu zake
 
Check therapist au washauri nasaha au combiner wanaotumia dini na saikoloji yaani sychospiritual therapist kujua kiini Cha tatizo kupitia historia ya maisha yako then wanakupa tiba nasaha.
 
Back
Top Bottom