Ndugu yangu amekuwa mlevi wa kupindukia, nataka nimpeleke sober house

Sikumoja akiwa chakali, mpeleke hospital alafu kula mchongo namadoctor wamdanganye.
 
niliwahi mpeleka ndugu yangu huko sober alirudi taya zimepishana, meno yamepasuka, halafu anakithembe.
Mfano ukimwambia sema Simba yeye ansema Thimbwaa,
 
walimpiga wenzie alikua ana kaukorofi na kaubishi ka maudhi, alitandikwa vibaya sana karibu afe ila yeye alisema eti amepata ajali.

actually wale jamaa wa pale sober walikua wakitupatia taarifa zake ila yeye anageuza anatia uongo

Dah hii dunia hii wewe acha tu [emoji3][emoji3]
 
Weka kinyesi kwenye pombe bila yeye kujua lolote,,, shughuri atakayoipata Kila akiona chupa ya pombe au harufu ya pombe atakimbia! Onyo ufanye Siri asijue yeyote zaidi yako! Ukifanikiwa uje utoe mrejesho
Kinyesi Cha binadamu?
 
Salama kwa wote, naandika Kutoka CHANGAMOTO NI MATUMAINI, kabisa shida ya Dawa Za kulevya na pombe ni Kama minyororo. Lakini sisi tunapamban dhidi ya Yanga hilo tangu miaka 15 iliyopita. Tumaini lipo, mkihitaji msaada tuwasiliane. Huduma yetu ni bure, pata maelezo kila jnne na ijumaa katika ofisi yetu pale Salasala ( kituo cha Mbujuni) simu +255 783 413 138
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…